Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Wee mwache tu anijie na vitu vya ajabu ajabu kama maua na kadi nitamfurumshia mbali hataamini [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah! Mbona mnafanya ligi iishe kabla ya mzunguko wakubwa, au hii ndondo cup? Sasa uhonge nywele kakwambia ana kipara?