The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Mm snaaa
Kumbe na wewe empty set?
Mm snaaa
Nitakuanzishia siled moja matataSawa nasubiri kuona hivyo
vita vya nini tena chief? wewe elewa hivyo...Naona unatangaza vita kamili. Fafanua kidogo huo u shem mkubwa.
Tufanyie maseke basi mie na Mwifwa tupate vismathi
Tangu nijiunge JF sijawahi kuanzishiwa uzi wa kuzimikiwa isipokuwa nimeanzishiwa uzi wa kutakiana asubuhi njema na Demiss.Poyeeeeee
Mimi nilitaka kusema ukweli, ila kuna watu humu walinifunga mdomonu kuhusu ile kesi yangu mimi na wewe..yaani unaona nanyang'anywa tonge mdomoni na Iceman 3D...wewe na jopo lako...KK na carba mnashangilia?? amaa kweli kua uyaone..
Kwa nn hukumwambia I3D KUWA NYBRGHT IS TAKEN??
Kazi kweli kweli
SawaKesho naenda kuanza mazoezi rasm kuweka mwili wangu tayari kwa ajili ya kumzalia mtoto Jr
Ataangukia kwako
Umeanzaaa tena kazi kweli kweliWhats so funny!!![]()
Aisee, yaani kweli kuna watu wabaya sana humu JF, kabisaaa wakakufunga mdomo na tupo nao hapahapa..kama huyo nanii hapo..Mimi nilitaka kusema ukweli, ila kuna watu humu walinifunga mdomo








Naisubiri....Nitakuanzishia siled moja matata
Kwahiyo nisubiri maonoUpako nilionao sio wa dunia hii, sinaswagi kwa matunguli kama huyo x wako
Laiti ungejuaaaaaaTangu nijiunge JF sijawahi kuanzishiwa uzi wa kuzimikiwa isipokuwa nimeanzishiwa uzi wa kutakiana asubuhi njema na Demiss.
Hapa kuna haja ya kuunda tume huru ichunguze haya mambo.
Naomba kuwasilisha mada mezani!!
Mimi sitaanguka,nitabaki nimesimamaNasubiri nione na wewe utaangukia kwa nani...

nimeanza nn mimi Demiss?Umeanzaaa tena kazi kweli kweli
Ungejua.....Mwifwa anapendwa sana na wanawame nimepiga darubin piem yake balaaaa
Mwifwa anapendwaaa huyo haina haja ya kupiga masekeeee
Tangu nijiunge JF sijawahi kuanzishiwa uzi wa kuzimikiwa isipokuwa nimeanzishiwa uzi wa kutakiana asubuhi njema na Demiss.
Hapa kuna haja ya kuunda tume huru ichunguze haya mambo.
Naomba kuwasilisha mada mezani!!