Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ebu niache bana.....![]()
![]()
![]()
nadhani tangu siku hiyo uliamini msemo wa wahenga kuwa"Mipango si matumizi"
Alikuwa anakuja kwangu akakuta akili yangu inafanya kazi kwa maelekezo ya tunguliii huwez ibadilisha kaamua kurud kwako kwa mikono miwiliAlinikataa mwanzo atanipenda sasa?![]()
Yan hata piem haifunguki inaandika 0App huwa haitoi notification za tags.
Naomba unitumie hiyo zawadi piemu
Sikukataa thad, wewe mwenyewe uliingia mitini nilishaanda na uzi machachariAlinikataa mwanzo atanipenda sasa?![]()
Nisamehe shemeji yangu, nilikuwa na kesi na Samaritan ndiyo iliyonivuruga...baby shem ndio ukanitosa?
Mzigua jeMniamshie mumu asee
Tunguliii baba hatariii lazma ujae kama zezetaaa zwaaaaaaaaa
mahondaw alipomnunia Smart911 alikuwa ana maanisha nini.....!!??Yan leo umeamua kunifungia viooo umenuna tu kila sehemu hata sjui kwann
Huyo mama usimwamini sana mkuu, asije akawa ameshaanza kufuzu mafunzo akakutumia attachment ukifungua tu kwisha kazi.




unaiharibia mingoooiMniamshie mumu asee
Uache kunikasirikia ovyo na viemoj vyakoNdio mimi...
sawa Babe shem hamna tabuNisamehe shemeji yangu, nilikuwa na kesi na Samaritan ndiyo iliyonivuruga...
Ntakutafuta kesho mapema tu
Unatafuta kupigwa juju wewe sio bure, yaani bado unaitaka salamu ya mke wa mganga maarufu duniani?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
style uliyo tumia sio nzuri hata kidogo. Kila la kheri huko uendako. Nahitaji japo salam kutoka kwako japo karoho kanauma
Umesema vyema. X naomba dawa ya kumnasa ThadAlikuwa anakuja kwangu akakuta akili yangu inafanya kazi kwa maelekezo ya tunguliii huwez ibadilisha kaamua kurud kwako kwa mikono miwili
we shangaa tuHivi kumbe carba naye si mwenzangu?![]()
![]()
![]()
Siku nikikuanzishia uzi ndio utajua naisoma au la....Umependa utaisoma, hujaenda utaisoma tu. Yeye mwenyewe(mhusika mkuu) anaisoma kimya kimya![]()
Unaichokoza eeeh kwahiyo hapa umemuona Mke ya jr tuMlale jaman kukesha si kuzur kwa afya kama ww demiss umekosa wa kukupapasa mapaja na kitovu nije?
Sichagui wala sbagui, atakayenizika simjuiSijuh atapendelea upande upi
@Thad aje kusuluisha hili