Nataka nijitose kabisa nione huo utalaam ulivyoHuyo mama usimwamini sana mkuu, asije akawa ameshaanza kufuzu mafunzo akakutumia attachment ukifungua tu kwisha kazi.
Ohoooooo!!!!!!!! Salam si vitaUnatafuta kupigwa juju wewe sio bure, yaani bado unaitaka salamu ya mke wa mganga maarufu duniani?
0123456789 ila usinidip, tuma tu pesa [emoji12] [emoji12] [emoji12]Tuma fasta aisee
Kamwee siwez kuwaangushaAmekwambia kwamba mimi ndio jembe lake, mrithi wa mali zake zote, hafanyi neno lolote bila kuniuliza? Nilisuasua kutoa jibu alipoomba ushauri wa kukuchukua ila nikakumbuka utatupa access ya hazina ya vitu adimu nikakubali. Sasa usituangushe.
basi yameisha mama.....sitaki tena mapinduziJiandae kuwa msukuleeee
sawa Babe shem hamna tabu
Wakiwa wapenzi au kabla ya kuwa doublemahondaw alipomnunia Smart911 alikuwa ana maanisha nini.....!!??[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
SawaYan hata piem haifunguki inaandika 0
Mbona kakuacha best? Ujue wewe ndiye mrithi wake wapaswa kujifunza kazi hiyoAmeenda kwenye vikao vya ulozi labda awe menifunga radaa
Aiseee kwahiyo saiv naanza kuvaaa makanikiUnatafuta kupigwa juju wewe sio bure, yaani bado unaitaka salamu ya mke wa mganga maarufu duniani?
basi yameisha mama.....sitaki tena mapinduzi
Mm snaaaUmesema vyema. X naomba dawa ya kumnasa Thad
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbona unanipeperushia ndege wangu!?Kuna kipindi kukaa mbali na matatizo inasaidia sana, chukua tu ushauri wa bure kiongozi. Kaa mbali. Hii vita inapiganwa kwa nguvu za giza, atomic, nyuklia, marungu, vifaru, manati, teknolojia, mizinga, fitna na aina zote za silaha...nikikuangalia vizuri sijui hata kama unaweza kunyanyua upinde.
Kuwa mpole kwanza gavana
SawaUache kunikasirikia ovyo na viemoj vyako
Najua ninachokisema [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayo umesema wewe
Kivip?niko mahali nawa_zoom tu....naona mambo yamebadilika siku hizi
mzigua kakumbatiwa huko anahudumia ndoa na kibaridi hiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzigua je
Au bado upo kwenye mafunzo?Mm snaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbona unanipeperushia ndege wangu!?