Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Ngoja nikutumie namba ya simu uanza kunihonga usiku huu huu [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa jinsi ulivyo nitakuonga ata nywele zangu inimladi unikubalie tu
Ngoja nikutumie namba ya simu uanza kunihonga usiku huu huu [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa jinsi ulivyo nitakuonga ata nywele zangu inimladi unikubalie tu
we naee...carba hakutoshi?Natangaza vita kwa atakae kugusa usalAma wako juu yangu bibie[emoji23] [emoji23]
itabidi nimuandikie siredi na yeye[emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyo ndo anakufaaaa sn yan usimuache
Ukisikia la mgambo limelia ujue kuna jamboKweli !? Hebu niapie ili siku utakayonianzishia uzi nipake make up kabisa
Nakuita hutak kunisikia hii app mpya mbn inanizingua piem jaman nataka nikutumie zawad nashindwaAisee
@Thad aje kusuluisha hiliNa iwe tu
baby shem ndio ukanitosa?Kwa kuwa mi mzuri si eti eeeh [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nakusalimu my x hb
cc mshana jr na DemissHahaaa uvumilivu umekushinda
[emoji102]cc Michepuko yako...
Huna lolote, ningekuwa mzuri unadhani usingeongeza pesa niliyokuwa nimeitaka? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muamala wangu kusitishwa hauhusiani na sura, kumbuka ulisema mpunga hautoshi...
Kama hamna nyota mtaishia kupata viewsitabidi nimuandikie siredi na yeye[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Haya machungu yana possibilityMkuu acha kunikumbusha machungu
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] style uliyo tumia sio nzuri hata kidogo. Kila la kheri huko uendako. Nahitaji japo salam kutoka kwako japo karoho kanauma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sna neno wewe mpende tu thad
@Thad aje kusuluisha hili
Yanakudanganya hayo macho yakouzuri wa mtu uko machoni kwa mtu......mimi naona unalipa tu kwa kweli[emoji1] [emoji1] [emoji1] labda kama macho yanadanganya
Hunter ulipotea wapi unaoneka mida mibovuwe naee...carba hakutoshi?
Ngoja nikutumie namba ya simu uanza kunihonga usiku huu huu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
HahahahaaaaaHapa vita ya kwanza ya JF inanukia...waweke fire extinguisher kwenye server zao.
Ameenda kwenye vikao vya ulozi labda awe menifunga radaaUtapigwa juju na mshana we endelea tu