The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
ndio mkuu nimepanda noah na nissan tu.......mabasi ya kusini bado![]()
![]()
![]()
Kuna kipindi kukaa mbali na matatizo inasaidia sana, chukua tu ushauri wa bure kiongozi. Kaa mbali. Hii vita inapiganwa kwa nguvu za giza, atomic, nyuklia, marungu, vifaru, manati, teknolojia, mizinga, fitna na aina zote za silaha...nikikuangalia vizuri sijui hata kama unaweza kunyanyua upinde.
Kuwa mpole kwanza gavana
