JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Binadamu wabaya sana...kwa hiyo mimi ndio nimekua mbaya? Nilisimamia haki na sikutaka kuwa mnafiki. Nilichagua kuwa rafiki wa kweli wa Ice.

Uzuri kesi imefungwa mjadala wa hili shauri tunauzika rasmi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya. Usiku mwema
 
Asanteni nyote mliojaribu kuniombea msamaha kwa namna moja au nyingine, Mungu akawawekee mkono katika mahusiano yenu mkayashinde majaribu na vikwazo ili mfike salama katika safari yenu. Nimefarijika sana kunionyesha upendo wa dhati kwa kutaka niwe na amani. Mungu awabariki sana. Usiku mwema nyote.
Amen [emoji4] na kwako pia madam Ney,

Ss ndo tuseme holiday hamna tena [emoji29][emoji29] (joking)

Sleep well mwaalimu, Nightz!
 
Asanteni nyote mliojaribu kuniombea msamaha kwa namna moja au nyingine, Mungu akawawekee mkono katika mahusiano yenu mkayashinde majaribu na vikwazo ili mfike salama katika safari yenu. Nimefarijika sana kunionyesha upendo wa dhati kwa kutaka niwe na amani. Mungu awabariki sana. Usiku mwema nyote.
Amen kubwa
ubarikiwe
 
Wee jamaa nimekufuta kazi. Nilitaka nione kiwango na umahiri wako kwenye hii kesi, umejichimbia unachungulia tu inavyounguruma hautii hata like achilia comment.

Ntajisimamia mwenyewe kesi yangu endapo Thad ataamua kuipeleka mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitakuwa hakimu
 
Back
Top Bottom