JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hivi unajua hata tulipo anzia na amen kubwa yako hii?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inaumiza eeh?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asanteni nyote mliojaribu kuniombea msamaha kwa namna moja au nyingine, Mungu akawawekee mkono katika mahusiano yenu mkayashinde majaribu na vikwazo ili mfike salama katika safari yenu. Nimefarijika sana kunionyesha upendo wa dhati kwa kutaka niwe na amani. Mungu awabariki sana. Usiku mwema nyote.
Nasi tunakushukuru pia[emoji23]
 
Back
Top Bottom