JamiiForums Usiku wa manane
Braza ukl biased tayari hii ishu huwz kuwa partial.

Ok let's cut to the chase, jana uliharibu, ukamuomba radhi Ney, akakuelewa. Sasa kwanini wewe bingwa leo unataka kujitutumua anapoomba msamaha? Tena unasingizia ugonjwa kuonyesha kwamba hili jambo limechokoza kifaduru hauwezi kuongea. Toa msamaha mambo yaendelee.

Braza tutabaki kuwa ndugu ila uonevu mwiko. Kumbuka bado tunamalizia ukoko wa sikukuu ya wanawake
 
Tupangie tu tarehe nyingine ya kesi. Ntamganda Ice mithili ya luba hadi aombe msamaha. Naweza kuleta hapa post zote kwenye ule uzi wa Dina alivyokua anajiachia kama uchebe hadi watu wanambembeleza awatajie mganga wake...mnakumbuka alivyoshtuka baada ya kuona Ney kaibuka? Ila binti nae ana roho ngumu yule utafikiri alqaeda.
Kwa hiyi braza una suggest Ney alikuwa ana haki ya kumuita yule jamaa baby wakati mi niko hospital kwa sababu ya ule uzi?
 
Back
Top Bottom