Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
What now?
What now?
Najua zaidi wewe hukwepo at.Braza
Na wewe yafaa uwe una angalia maslahi ya mimi mdogo wako. Hapa una mtetea Ney
Ukiona hivyo bado hajafika chini vyema....anyway mr Iceman hawezi kufanya makosa ya kumuacha mwanamke bright na mzuri kama Ney, hasira na uchungu vikiisha wataongea yataisha.
That's my kakaUkiona hivyo bado hajafika chini vyema....anyway mr Iceman hawezi kufanya makosa ya kumuacha mwanamke bright na mzuri kama Ney, hasira na uchungu vikiisha wataongea yataisha.
yeeeeeeeeeeeeeeeeeahBraza wewe ndio unaharibu kabsaaa yaan hujui tuu.Ok let's cut to the chase, jana uliharibu, ukamuomba radhi Ney, akakuelewa. Sasa kwanini wewe bingwa leo unataka kujitutumua anapoomba msamaha? Tena unasingizia ugonjwa kuonyesha kwamba hili jambo limechokoza kifaduru hauwezi kuongea. Toa msamaha mambo yaendelee.
Braza tutabaki kuwa ndugu ila uonevu mwiko. Kumbuka bado tunamalizia ukoko wa sikukuu ya wanawake
At least niskilize kwenye hiliSiwezi kulala iceman wangu
Aisee ila hapa kwenye kulala na maumivu unakosea chief, usiruhusu mkalala na maumivu...ww hasira yeye machozi, hapana aseePumzika tu Ney.
Wacha na mimi nlale na maumivu yabgu bhana!
Kamanda tayari ataondoka si mudaMwambieni sasa kamanda nae adondoke
Finally Samaritan says something which holds water
Sema chochote wanguPumzika tu Ney.
Wacha na mimi nlale na maumivu yabgu bhana!
Sure chief, hapo kwenye kulala na hasira mm sisapoti hata kidogoSasa professor, hata Biblia inasema jua lisizame tukiwa na hasira, huyu mwenzetu usiku wa manane bado katundikiwa drip kwa kuruhusu uchungu na ghadhabu zimtafune. Ney ameshaomba msamaha, anataka nini tena?
Safi kama umeliona hilo ndomana nikataka asiwepo machoni pake akazidisha hasiraUkiona hivyo bado hajafika chini vyema....anyway mr Iceman hawezi kufanya makosa ya kumuacha mwanamke bright na mzuri kama Ney, hasira na uchungu vikiisha wataongea yataisha.
Hamtetei lakini ameona ney kagundua makosa na anaomba msamaha,hivo msamehw na umuonye
Aaah!
Wewe ni rafiki wa Jose mwambie basi jamaa yako aendelee nadhani ndio utafurahi.
Sina la kujib tena
Mue makini kuchukulia baadh ya vitu simpleHamtetei lakini ameona ney kagundua makosa na anaomba msamaha,hivo msamehw na umuonye
Sure chief, hapo kwenye kulala na hasira mm sisapoti hata kidogo
Braza una mek senseNajua zaidi wewe hukwepo at.
Yule hana nafasi kwa Ney na leo ndo umemaliza kabisa nipo upande wako
Mwanamke wa kuomba msamaha zaidi ya mara zote hakuna kwa sasa ila huyu amethubutu naamini atalinda heahema yetu
Kamanda tayari ataondoka si muda