JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ila Ice wewe ulisifiwa na dina unajua?
Na ney alivumilia?
Au akugeuzie kesi na wewe[emoji23][emoji23]
Naona fursa ya kuwa wakili hapa
Jamani
Jana nilikuwa naumwa na siku wepo at least she could reserve it for another day.

Hivi jaman D alitusifia watu watatu, kwanza hata stori ile ilikuwa haimek sebse uki iangalia.
 
Mlalamikaji mhuni tu, alikua na kimeo tayari, sasa kamtegea dada wa watu ndio kaamua kukandamizia hapo hapo. Kiukweli Ice ni digala wetu mkuu wa kikosi, aombe radhi maisha yaendelee
Digala[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] your honoy naomba Samaritan awe nje ya kesi hii. Ananichekesha sana nashindwa kufanya majukumu yangu
 
Nasubiri jibu la mwisho la mlalamikaji.
Akigoma kusamehe tunageuza kesi,Sam yupo atanisaidia
Sam hafai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani hadi tumbo linaniuma
 
Braza ni wapi nilimuita D baby pale? Halaf baby gani tunatajwa watu watatu eti. Ike ishu hata haikuwa siriaz

Unajua kuwa Ney ndiye alimuita jose baby kule?
Jaman mi spendi niseme mengi humu
[emoji124]

Braza siamini kama uko upande wa Ney.

Mimi sina upande braza, nataka haki itendeke, haimaanishi tutakua maadui
 
Back
Top Bottom