Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
[emoji85] [emoji85] [emoji85] Nimekoma kweli lolUkome muone vile
[emoji85] [emoji85] [emoji85] Nimekoma kweli lolUkome muone vile
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahahahaaaaaa
AhahahaaaaaaJapo data zinasema hatuna furaha ila mimi ipo tu.
Mimi ndo hunioni kabsaaAkirudi nitag nitete naye mawili matatu
Nitafanyaje jf version mpya ni mbaya hatariiiii. Na sitaki nipitwe hukuWeb kwa simu ishanishinda kabisa, labda PC tu
Shemeji yangu banah, naona hupati notification [emoji348], mbona nimekusabahi muda mrefu sanaKwa hiyo mii kaka mtu hujaniona kabsaaa
Notification zinaingia nyingi sana kwa kugongana, mimi nafuata tu uzi taratibu hapa nikipitia kila comments za waliotanguliaNotfcation unazimudu zote kujibu?
Daaaah hata wewe Miller?Japo hoja zake batili...[emoji1][emoji1]
Aisee, tatizo damu ni nzito kuliko Maji siku zote, hili jambo itabidi tulizungumze chemba kidogo mshiki. Nimekuhamu zaidi ya machozi ya simba.kumbuka majibu yako siku ile
BTW nimekuhamu sanamy kaka loooh
My baby!!!Sasa kwanini uende wakati hapa ndio panakucha
Yeah I wish .. Hope soon ntacop wacha niusome mchezo taratiib.Feel at home
KabisaAsiyesikia la mkuu huvunjika guu.
Ahahahaaaaaa kuna raha yake ujueJana ilikuwa hatari,mpaka nikaji force kulala aise. Metoboa mpaka Saa 9
Mwifwa plz my bilavud ticha, naomba msamaha nirudi darasani [emoji134] [emoji134] [emoji134][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ama kweli ule msemo wa rafiki zako wa m*v* ya kale hayanuki umetimia. We si ulituambia umepata ticha hensamu.
Anyway mwombe kwanza @ Mwifwa msamaha akikubali nakurudisha class.[emoji40] [emoji125]
Mzee baba bingwa wa kuandika naona ulivyo choka leo[emoji3] [emoji3] [emoji106]
[emoji125][emoji125][emoji125]Daaaah hata wewe Miller?
AhahahaaaaaaIla na huyo si mwema ha ha haaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukome muone vile