JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mwl.naomba nirudi darasani kwako, kule nilikokuwa nimehamia wamenifukuza.[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Hayo ndiyo niliyokuwa nimeandika kwenye barua aliyonifanyia figisu jje's
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ama kweli ule msemo wa rafiki zako wa m*v* ya kale hayanuki umetimia. We si ulituambia umepata ticha hensamu.
Anyway mwombe kwanza @ Mwifwa msamaha akikubali nakurudisha class.[emoji40] [emoji125]
 
Back
Top Bottom