JamiiForums Usiku wa manane
mmetisha wakuu kwa kudumisha huu uzi. nakumbuka kipindi wife yupo siku za matarajio ya mtoto wetu wa kwanza nilikuwa silali nkamwambia wewe lala maumivu yakizidi ntaacha jamiiforums ntakupeleka hospital aisee kumbe alikuwa uwoga cjui ndo mtoto anageuka nilikesha mwezi mzima macho. Mungu awabariki mnaodumisha uzi
 
Asante, pia kwa kumjali mkeo.
 
Back
Top Bottom