Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kumbe barua haikukufikia kweli?![]()
![]()
Lete barua yangu kwanza
jje's kwanini lakini ulinifanyia hivyo?
Kumbe barua haikukufikia kweli?![]()
![]()
Lete barua yangu kwanza
Ok ngoja na Mimi nikae eneo languPande za hapa getini pako powa sana
Leo nipo offPoa.
Leo hutoe huduma
Bora kabisa ili nibaki na kazi ya lindo pekee yakeOkey
Basi kuanzia jumatatu darasa lianze. Achana na Mwifwa atakupoteza.
Mnatumia nini??? Web?Pole sana, mimi zinamwagika sana
Wa afya tele, hofu juu yakoOooh. Kipenzi,mzima wewe? Marhaba
Sawa mwaalimu Asante mwaalimuOkey
Basi kuanzia jumatatu darasa lianze. Achana na Mwifwa atakupoteza.





Jomoniiiii,usiendeeeeWakuu huu mji bado unanipa tabu kila nikijaribu kwenda sawa na wenyeji nashindwa..... kwaherini
Mfunga geti heshima yako mkuu![]()
Nipo bibie, sema kuna mambo yananifunga kamba si mchezo. Nawamis sana wanajamvi, kinachonipa faraja ni kuona hapa pamechangamka.Umepoteaaa
Kivipi?Jamni hii speed inanishinda
Hafai katika jamiiThad ni mchochezi sana
Inshallah,bukheri wa afya mieWa afya tele, hofu juu yako
Hata mimi nashangaa kabisaEti kuna wasio penda asali dah
Asante sana kiongozi.Karibu tena mkuu
Sawa. Basi kamba ikifunguka urudiiiiNipo bibie, sema kuna mambo yananifunga kamba si mchezo. Nawamis sana wanajamvi, kinachonipa faraja ni kuona hapa pamechangamka.
Mi nashangaa kwani nimemvuruga nani hapa?

Aaaha mkuu,Wakuu huu mji bado unanipa tabu kila nikijaribu kwenda sawa na wenyeji nashindwa..... kwaherini
Mfunga geti heshima yako mkuu![]()
AhahahaaaaaaBwana weee...jana niliumbuka na kuni zangu, kila nikitafuta mafiga ili nichochee moto nakuta watu wamesameheana na kukumbatiana....lol, ikabidi nizitupe kuni zangu![]()
![]()
![]()