Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Siku hizi wanasema mambo ni hiviHahaha na kweli spidi ya Leo sio ya kawaida kabisa, ni zaidi ya 10G kiukweli nafarijika sana nikiona hivi.
Siku hizi wanasema mambo ni hiviHahaha na kweli spidi ya Leo sio ya kawaida kabisa, ni zaidi ya 10G kiukweli nafarijika sana nikiona hivi.
Akikujibu nishtueKumbe barua haikukufikia kweli?
jje's kwanini lakini ulinifanyia hivyo?
EwaaahJirani wa DUNIAAA
Inazingua mda mwingine sijui vipiPole sana, mimi zinamwagika sana
Karibu tena mkuuWakuu huu mji bado unanipa tabu kila nikijaribu kwenda sawa na wenyeji nashindwa..... kwaherini
Mfunga geti heshima yako mkuu![]()
Kama unataka kunishawishi hvJomoniiiii,usiendeeee
Kweli wikimwishoLeo nipo off
Akirudi nitag nitete naye mawili matatuAaaha mkuu,
Mbona unajinyima haki yako.
Hapa hamna kanuni maalumu, ili mradi tuuu usivunje sheria za jf.
Mnajua nyinyi mnajichanganyaYupi sasa maana wapo![]()
![]()
![]()




UnasemaaaaNimekuma uchochezi tangu jana, masna si kwa kushushuka kule, ilinibidi niondoke kimya kimya bila kupenda.![]()
![]()
Hata mimi mwenyeweJamani sipati notification kwa jf app![]()
Tufurahi tuu hakuna namnaFuraha moyoni
Hapo sawa, job distribution kwa kwenda mbeleOk ngoja na Mimi nikae eneo langu
ApplicationMnatumia nini??? Web?
Subiri kidogo![]()
![]()
Liseme basi chapuchapu tukiwa tunatembea nikisimama ntalala kabisa ujue![]()