spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Hahahaaaaa



Sawa, geti liko salama nitafunga.Utafunga gate Renegade
Nipo majimoto kwenu wapi nikawasalim wenyeweTaratibu mkuu, huko ndo kwetu
Ngoja aje aliyekuwa na shida atajieleza mwenyeweYes nipo hapa Herbalist Dr.MziziMkavu Hauchimbwi Dawa unasemaje Mkuu?
Hahahahh Niko vzr nitalinda hadi wapenzi wenu msimu huu wa Valentine wasiibiwe...Kesho zamu yako ulinzi
Maisha ya kulala sebuleni kwa shemeji ni adha tupu.Jaman wale tuliolala sebuleni ndo mida yetu hii ya kuamka
Unaonaje nikulinde wewe?Hahahahh Niko vzr nitalinda hadi wapenzi wenu msimu huu wa Valentine wasiibiwe...
Oh yeahUnaonaje nikulinde wewe?
Repeat again...Oh yeah
Ouhh yeahhhRepeat again...
I like that....Ouhh yeahhh