Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Ha ha haaaa naskiaa paaaaaaahUkiacha uchawi ndio hutonigusa
Ha ha haaaa naskiaa paaaaaaahUkiacha uchawi ndio hutonigusa
Hii hasira namwachia Mungu tu...Ha ha haaaa naskiaa paaaaaaah
Heheheee nsamehe sitakugusa tenaaHii hasira namwachia Mungu tu...
Dingi pole mola akujalie uzima mkuuDingi anaumwa...demiss yupo anakunywa,kichwa kichafu anabebika
Hapo sawa.Heheheee nsamehe sitakugusa tenaa
Taratibu mkuu, huko ndo kwetuNipo mkuu ila nipo huku chaka katavi c unajua bado papo primitive hata stima hakuna mkuu
Nmeumia sana tena sanaa .....ndo mana nmeomba radhiHapo sawa.
Ila ujue urafiki ni kama mwili, kiungo kimoja kikiumia mwili wote unapata maumivu.
Lakini nashangaa unaniumiza bila wewe kuumia![]()
![]()
![]()
SalamaRafik zangu hb wa kigogo na dingimtoto salam zangu popote mlipo..maendeleo yenu ni muhimu apa
Thad mamboTaratibu mkuu, huko ndo kwetu
Kwa hiyo utanisagia hiyo mboga namna hii ili kesho nile kiporo barabara?Nmeumia sana tena sanaa .....ndo mana nmeomba radhi
Usijal kabisa jiandae kuuvuta vzr man me nkukupikia utajilambaKwa hiyo utanisagia hiyo mboga namna hii ili kesho nile kiporo barabara?
View attachment 693742
Unaendeleaje?Salama
Nina endelea vizuriUnaendeleaje?
Karibu sana mkuuNafurahi kuona watu wanatimiza jukumu lao la ulinzi bila kushurutishwa. JF oyeeee....
Huna lolote ww kila siku fiksi tuJamani njaa imenizidia,wacha nikubali kuwa leo ndio nimeshakosa riziki hivyo, wacha niendelee kuhesabu fito za paa la banda nililolalia yamkini Mola atanipa kula kukicha.
dingi mtoto na HB wa kigogo poleni sana. Mungu awarejeshee afya zenu tena. Nawapenda,nawamiss sana.
Vip wewe?Nina endelea vizuri
Ebu ishia hapo, hapa nitalowanisha sakafu kwa saliva amylaseUsijal kabisa jiandae kuuvuta vzr man me nkukupikia utajilamba