Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
Hujawahi kupata jipu maeneo hayo isipokuwa sasa tu?Nashukuru Umenitoa tongotongo kidogo niende hospital jaman nikawambie "Nataka my papueeee back"
Hujawahi kupata jipu maeneo hayo isipokuwa sasa tu?Nashukuru Umenitoa tongotongo kidogo niende hospital jaman nikawambie "Nataka my papueeee back"
Na wewe pia!Kwaherin endeleeni na lindo
Good Night [emoji99][emoji287]
[emoji4] Sweet Dream
[emoji293][emoji293][emoji293][emoji293][emoji293][emoji293][emoji293]
![]()
Usilale kwanza nataka nikunong'onezeUtaniambia kesho mm nalala
Ipo siku utaijutia hii kauli yako.....Kigagula tu huyo
KazaaaNasubiri picha au unataka kuninyima kazi?
Nitasema ID yangu ilihackiwaIpo siku utaijutia hii kauli yako.....
Sidanganyiki kijinga.........Nitasema ID yangu ilihackiwa
Basi kumradhi...Sidanganyiki kijinga.........
Wala hujanikosea..... Ila umenipa kazi ya kufuta moja ya sifa nilizokuwa nimezibainisha za yule ninayemzimikia!Basi kumradhi...
Hongera kwa kuuona usiku wa manane, nakushauri usubirie na usiku wa matisa piaHivi sasa ni usiku wa manane kamili
Ndio maana nimesema hivyo kwa sababu nimegundua kuna madhara juu ya kauli yangu baada ya wewe kurespond.Wala hujanikosea..... Ila umenipa kazi ya kufuta moja ya sifa nilizokuwa nimezibainisha za yule ninayemzimikia!
Nakupendea ustaarabu wako....wacha nikaongeze sifa hii kwenye bandiko langu!Ndio maana nimesema hivyo kwa sababu nimegundua kuna madhara juu ya kauli yangu baada ya wewe kurespond.
Mimi tayari nishafuta kauli yangu.
Hapo sawa sasa moyo umezuuzika.Nakupendea ustaarabu wako....wacha nikaongeze sifa hii kwenye bandiko langu!
Kauli yako imefutika rasmi. Lala unono kwa amani
Huu mwandiko atakuwa alianza kuutumia darasa la tano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu muachage vituko bana.
Kuna mwingine aliamka usiku akakuta bwana wake Abdala kichwa kipara anasearch network akaanzisha hadi uzi kuulizia hiyo hali ni kawaida au la..
Jinsi nilivyomjibu nikifikiria hadi nacheka sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu muda ndio una mambo matamu sana...
Mm Nataka kulala maana naona nikibana Mapaja maumivu ya kijipu uchungu tu hapa sna raha wananiambia Eti niache mpk kiive limekuwa embe hili