mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,912
Salaaam wana nzengo
Aibu ya mwenzio ni aibu yakoHaya nmekufichia mana we ni mshikaji wangu
Nilienda kwa kila mtu siku moja moja naona ata hawponi![]()
![]()
inamaana hujaenda kuwauguza?
Usharudi mjini?Salaaam wana nzengo
Njaa inaniuma kama umebakiza kiporo naomba nile nikishiba nimtaje nimpendae hapa, potelea popote liwalo na liwe....akinielewa sawa akiniona mhuni basi!Hutaki kunizimikia bora nikuache tu upambane na hali yako
Unapenda kiporo cha chakula gani?Njaa inaniuma kama umebakiza kiporo naomba nile nikishiba nimtaje nimpendae hapa, potelea popote liwalo na liwe....akinielewa sawa akiniona mhuni basi!
Hahahaa wewe huyooo npo apa leo nasubiria mtu atajweeNjaa inaniuma kama umebakiza kiporo naomba nile nikishiba nimtaje nimpendae hapa, potelea popote liwalo na liwe....akinielewa sawa akiniona mhuni basi!
Nilikumiss mwanakwetu!Salaaam wana nzengo
Ndo madhara ya kuwa nao wengi, ungekuwa na mmoja ungepata wasaa wa kumuuguza vizuriNilienda kwa kila mtu siku moja moja naona ata hawponi
Aibu ni yako peko yako ila pesa ya mwenzio ni yakoAibu ya mwenzio ni aibu yako
Mchagua jembe si mkulima, nipe chochote nitakulaUnapenda kiporo cha chakula gani?
Mwambie akugawie mmoja upooze moyo wako kabla unafanya maamuzi ya kumtaja uliyemzimikiaNdo madhara ya kuwa nao wengi, ungekuwa na mmoja ungepata wasaa wa kumuuguza vizuri
MmmmhhhhAibu ni yako peko yako ila pesa ya mwenzio ni yako
Mwite jje's, Neybright,Maserati na Demiss waje washuhudie hilo tukio la kutajwa mtu liveHahahaa wewe huyooo npo apa leo nasubiria mtu atajwee
Mchagua jembe si mkulima, nipe chochote nitakula
Moyo wangu sultani cha mtu sitamani.....Mwambie akugawie mmoja upooze moyo wako kabla unafanya maamuzi ya kumtaja uliyemzimikia
Hivi Neybright yupo...demiss akimaliza kulewa atakujaMwite jje's, Neybright,Maserati na Demiss waje washuhudie hilo tukio la kutajwa mtu live
Basi kufwa tu sisi tutakusitiriMoyo wangu sultani cha mtu sitamani.....