JamiiForums Usiku wa manane
Spade4spade,
Ipogolo, huu mtindo wa kuja kijiweni kuwahi siti zetu mi sijaupenda. Muda wa kufika hapa ni hadi simu yako ukiiona inasoma sifuri mbili za kidhungu, halafu vinafuata vi doti viwili kimoja juu na kingine chini, afu tena sifuri mbili, ndo unakuja hapa.

Sasa ona umekalia siti yangu niliyopewa na mpenzi wangu wa roho jamani! Hiki ndo nini kunifanyia vile?
 
Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo:-

1.Awe mchaga kama Nleterewa Nganengo maana kwake sitalala njaa.

2.Awe mstaarabu kama Mwifwa, maana kwake nitaishi kwa amani.

3.Awe mtanashati kama HB wa kigogo,najua nikimuomba hela ya saluni hatanihoji mara mbili mbili.

4.Awe mfuga mbwa kama ipogolo,nikiwa na hamu ya nyama nitachinja mbwa nile.

5.Awe na gari kama mgunga pori, hapo tz 11 yangu itapumzika kutembea.

6.Awe mkulima kama No Escape, nikisikia njaa niingie shambani kuchuma hiki na kile nile.

7.Awe msanii kama spade4spade, aliite jina langu kwa madoido zaidi ya anavyoita jina la Maserati

8.Awe mpiga pamba kama dingi mtoto, hapo najua nitajaza kabati 20 za nguo.

9.Awe mpishi kama alibakari, anipikkie mahanjumati nile nifurahi.

10.Ajue kubebisha kama Kichwa Kichafu,anipetpet zaidi ya anavyompet jje's.

11.Awe sharp kureply kama Joseverest,areply sms zangu zaidi ya anavyoreply sms za Neybright.

12.Awe hana wivu kama Saint Ivunga,asivyomwonea wivu Inna.

13.Asiwe adimu kama Manga ML, mjr95 wala ArleN maana nikimmiss nitaumwa.
 
Ipogolo, huu mtindo wa kuja kijiweni kuwahi siti zetu mi sijaupenda. Muda wa kufika hapa ni hadi simu yako ukiiona inasoma sifuri mbili za kidhungu, halafu vinafuata vi doti viwili kimoja juu na kingine chini, afu tena sifuri mbili, ndo unakuja hapa.

Sasa ona umekalia siti yangu niliyopewa na mpenzi wangu wa roho jamani! Hiki ndo nini kunifanyia vile?
Yangu ilikuwa inasoma 00: 02 .Latitude hazilingani spade.
 
Back
Top Bottom