watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,645
Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka.
Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi,
Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone,
Iphone - System inaruhusu mitandao kuifunga simu usiweze kuwasha wifi hotspot, yaani bando ni lako ila cha ajabu unapangiwa jinsi ya kulitumia, niliwahi kutumia Halotel simu ilikuwa haiwezi kurusha Wifi Hotspot, kwenye nchi za nje mitandao mingi sana wanawabana watumiaji, huu sio uhuru.
Android - huku ni full utawala, unawasha wifi hotspot kwa uhuru bila kujali mtandao wala nchi, bando ni langu sitaki kufanyiwa maamuzi namna ya kulitumia
Kuinstall apps kwa mfumo wa mafaili bila kuingia store wala kutumia bando.
Iphone - Nilikuwa nabanwa ku install apps hadi niingie I store, bila bando au mtandao ni taabu
Android - naweza kutunza nakala ya app kwenye simu nikaja ku install baadae bila haja ya kuingia store wala internet, ni rahisi zaidi
Kuseti wimbo wa muito wa simu
Iphone - Ni process ndefu kidogo na ukiwa sio mjuzi huwezi
Android - Unachagua muziki wako, unaseti hapo hapo
kucopy mafaili kwenye computer
Iphone - system ya iphone imebana kucopy mafaili hadi uwe na program za ziada kama Itunes
Android - Ni fasta tu, nachomeka usb cable, natoa loki, naanza kuhamisha mafaili, kama flash yani
Kurekodi simu
Iphone - Iphone kwa mara ya kwanza imeruhusiwa kurekodi calls mwishoni mwa 2024., lakini bado huwezi kuinganisha na android, kwenye iphone ukitaka kurekodi call kuna sauti inawajulisha washiriki wote kwamba simu inarekodiwa, halafu kuna notification inayoonekana kwenye screen unarekodiwa. mtu akishajua unamrekodi mawasiliano hayawezi kuwa ya kawaida.
Android - na enjoy sana hii teknolojia, ni rahisi kuitumia na yenye faida kubwa
Multi Tasking
Iphone - System ina uwezo mdogo kwenye kufanya mambo mengi kwa mpigo, mfano system yake hairuhusu split screen, Kuna baadhi ya apps zinalazimisha lakini zinapwaya.
Android - Ni feautue ya iliyoruhusiwa bila mipaka, ni nzuri sana na naitumia kufanya baadhi ya mambo fasta
Kusoma flash kwenye simu
Iphone - Ni kero kubwa, sytem hairuhusu kusoma baadhi ya flash zilizo kwenye mfumo wa NTFS ambao ni maarufu, inabidi uformat upya flash iwe fat32 au exfat
Android - Unatumia flash kama umeichomeka kwenye pc
Speed ya kuchaji
Iphone - ina fast charge lakini yenye umeme mdogo, speed ya kuchaji ni ya kawaida, fast charge yake ni watts 25
Androids - Simu zinachaji fasta sana, charging system inaweza kumudu wats 100,
Camera
Iphone - Kwa muda mrefu sana ulikuwa huwezi kuniambia chochote kwenye camera ya iphone lakini....
Android - Nilikaririhswa muda mrefu iphone is the best kwenye camera lakini android hawana dogo, mfano kwa sasa simu zinazoongoza kwenye takwimu mbalimbali maarufu ni pixel 9 pro