Tukio moja kila mtu ameona kivyake. Hakuna jipya hapa
Haiwezekani kila mtu aone kivyake. Hilo ni jambo
Yule mtu alikuwa gaidi. Shuhuda Happy Manono anasimulia. Alitokea baharini,(beach), akachomoa silaha mbili,"akaongea, Allahu Akbar,akawapiga risasi polisi,akawanyang'anya silaha. Kila alipokuwa anapiga risasi chache,alikuwa anasema,'Allahu Akbar',halafu risasi zilipomuishia,akapiga magoti,akanyoosha mikono juu."
Hii picha clearly inaonyesha Hamza hakupiga magoti. Yule witness sijui alikuwa ana matatizo gani
 
Yule mtu alikuwa gaidi. Shuhuda Happy Manono anasimulia. Alitokea baharini, (beach), akachomoa silaha mbili,"akaongea, Allahu Akbar, akawapiga risasi polisi, akawanyang'anya silaha. Kila alipokuwa anapiga risasi chache, alikuwa anasema, 'Allahu Akbar', halafu risasi zilipomuishia, akapiga magoti, akanyoosha mikono juu."

View attachment 1914501
Nilipingana na Magufuli ,kuwa Tanzania imefika uchumi wa wakati.Aisee ilikuwa si ukweli.Kwa kuwa watu wengi hawana uelewa kama mwenye huu Uzi.
 
Nasemaje... ukitaka uone bongo watu wanaandamana waguse sehemu zifuatazo...
1-wapandishe bei za pombe...
2-waweke tozo kwenye mikeka ya kubeti yaani kama mtu ameshinda laki 1, serikali ikate 50%... hivyo hivyo kwenye bonanza...
3-Hakuna kuingia gesti bila ID ya chanjo ya corona...

wallah tunaingia road, hii ya ku block porn sites, hamjawastua wanadunda na vpn... ,tozo na kodi ya jengo kupitia LUKU hivyo kawaida....
mkigusa hizo sehemu, tunachoma matairi barabarani.... wallah
Mi nikadhani simu yangu mbovu kume wameziblok! Nakosa uhondo mie
 
Mji kama dar police hawana armoured vehicle, wanaenda kukabiliana na majambazi wako kwenye Pickup, lazima tukubali haya ni mapungufu, tumejaza mi ashok jeshi la police utafikiri wako vita vya kwanza vya dunia
 
Niliwahi shauri....askari waajiliwe kwa kufuata vyeti vyenye maks nyingi kinyume na sasa.inshort "Intelligence needs Intelligent People"!!
Sasa angalia fwafwa znavotumika sasaaa!! Angalia sasa The decision have supremely suppressed the whole Source!!
 
Wabongo hawanaga akili kabisa.
Nawashangaa sana.
Badala ya kuangalia vya maana wanaanza kukosoa ujinga.
Wamesahau kuwa polisi hao hao ndio waliweka hali shwari Kibiti na mpkn mwa Mtwara.Wameshasahau polisi hao hao ndio walioleta hali ya utulivu nchini.
Wanashindwa kupima tukio limetokea kwa mazingira gani na nchi yetu imezoea hali gani.
Hapa ndipo naelewa kwann Tz tuna safari ndefu ya maendeleo.
Mmmh
 
Back
Top Bottom