G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,466
3,645
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
  • Ni nani?
  • Katumwa na nani?
  • Yuko na akina nani (wako wangapi)?
  • Nini dhamira yao?
  • Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu?
 
Mtu ana silaha na anaua watu .Kwa nini mmuache ?By the way huwa hawasemi hawa wala kutoa ushirikiano kwa polisi. Wanakula yamini hawa magaidi. Bora wameliua tu.
No Vicky. "Enhanced interrogation" itakufanya useme tu. We're not sure hata kama ni gaidi. Sidhani kama kuna gaidi mjinga kama huyu bwana. We would get crucial information. Police must say something. Who's this guy?
 
Mtu ana silaha na anaua watu .Kwa nini mmuache ?By the way huwa hawasemi hawa wala kutoa ushirikiano kwa polisi. Wanakula yamini hawa magaidi. Bora wameliua tu.
Kuna wazee wa interogation wewe usiombe kukutana wanakupiga kisu cha gotini. Hujasema unapigwa cha mkundn hujasema unamaliziwa chs koromero c bora lingekufa kifo hicho kuliko kuuliwa kwa lisasi fasta vile🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom