Kwakweli vifo vya polisi jana na yule mlinzi wa kampuni binafsi ni jambo la kusikitisha sana.

Hawa watu wana familia zoa, wake na watoto huko nyumbani, inasikitisha kwamba baba kaenda kazini lakini hatorudi kamwe nyumbani akiwa hai.

Pamoja na hayo, polisi waliokwenda kukabiliana na Hamza walionesha madhaifu ambayo ni muhimu yafanyiwe kazi. Kuendelea kumpiga risasi mtu ambaye tayari yuko chini sio sawa kabisa.

Pia kama kuna uwezekano wa kumkamata mhalifu akiwa hai pasipo kuhatarisha maisha ya askari, lazima hicho kiwe kipaumbele badala ya kuua tu.

pole zangu kwa familia ya Hamza amekufa kishujaa,
 
Huwezi kupanda maharagwe ukatarajia kuvuna mahindi. Kama ungekuwa na akili ungejiuliza kwa umakini mkubwa zaidi chanzo cha chuki hiyo ni nini badala ya kubwabwaja tu kuwa watu ni 'wapumbavu'.
Acheni siasa uchwara zinazowatoa ufahamu kama vile hao Polisi hatuishi nao mitaani nakati tunaishi nao vizuri tu na kukutana ktk biashara, makanisani, misikitini, vyuoni, michezoni n.k
 
Kila wiki akiwa anatokea mwamba mmoja kama yule sirro angewehuka ile berret angekuwa anavaa anapokalia na ile ya ndani unayovaa anapokalia angekuwa anaivaa mbadala wa berret
 
Mkuu umesema kweli yote. Sema polisi wetu wako hovyo sana katika intellegencia. Hawajui kwamba ushindi mkubwa ni kumkamata adui yako akiwa hai kuliko akiwa mfu. Nilishangaa sana yule askari aliyeendelea kumminia risasi mtuhumiwa akiwa ameshaanguka chini. Hili la kutokuwa na askari wa shabaha ni aibu nyingine, jamaa yuko eneo la wazi na mwili wote ule wanashindwa kulenga?
Mafunzo yetu ya polisi yametiwa walakini sana na tukio la jana. Ni kama hatuna askari ukiondoa bunduki wanazobeba.
Jamaa hana mafunzo makubwa. Askari wanaonekana kukosa weledi na woga kupita kiasi.

Jamaa alikuwa open wamepiga risasi zaidi ya 20 wakimkosa kihasara jamaa ambaye yupo open na polisi wapo zaidi ya 10. Wanakimbia kimbia tu.

Ni udhaifu yeye ambaye hana mafunzo makubwa kuwapora askari smg na kuendelea kuwatandika kuua wanne. Mtu mmoja wamejibishana naye kwa nusu saa nzima. Wangekuwa watatu na wenye uwezo mkubwa?

Kwa woga wa polisi walishindwa hata kum netraulize wampate akiwa hai kwa mahojiano. Wamempiga risasi kaangua badala ya kufanya utaratibu wa kumpata hai wanaendelea kumpiga risasi mtu ambaye tayari isnt a threat. Ni woga. Woga wa hali ya juu.

Inaonekana waliendelea hata kuimiminia risasi maiti huko mbele wakiwa hawaamini kama jamaa amefariki.

Huyu alipaswa akamatwe mzima. Angepigwa risasi miguuni au sehemu ambayo isingemlazimisha kufa. Then wange mchukua kumtibu na kuja mhoji awaeleze kisa na mkasa.

Polisi acheni kuwa mnaonea tu raia wasio na silaha. Huyu jamaa ndo alikuwa kipimo chenu tosha.
 
Wabongo hawanaga akili kabisa.
Nawashangaa sana.
Badala ya kuangalia vya maana wanaanza kukosoa ujinga.
Wamesahau kuwa polisi hao hao ndio waliweka hali shwari Kibiti na mpkn mwa Mtwara.Wameshasahau polisi hao hao ndio walioleta hali ya utulivu nchini.
Wanashindwa kupima tukio limetokea kwa mazingira gani na nchi yetu imezoea hali gani.
Hapa ndipo naelewa kwann Tz tuna safari ndefu ya maendeleo.
Inatakiwa awepo Rais wa kaliba ya Hayati JPM kwa zaidi ya mara 5 yake ndipo tutaweza kuwa vizuri kiakili na uzalendo.
 
Sikulaumu hayo ni mawazo yako ila tambua bunduki km AK47 au SMG hawashiki askari wa kawaida angalia yule jamaa alishika silaha ya aina gani na kawaida maaskari hutumia silaha ya aina gani.
Halafu angalia Tz ni nchi ya aina gani.
Hii nchi ilizoea amani na tulikaa muda mrefu hatuna bugudha leo hii mtu km yule atokee unadhani inakuaje?
Tulishazoea amani na utulivu.
Yaani injinia wa umeme kama hujawahi kuona short ya umeme,siku ikitokea unasema sijazoea hii kitu,lakini siumefunzwa kutatua hayo matatizo!
Polisi wetu ni weupe kabisa
 
Sikulaumu hayo ni mawazo yako ila tambua bunduki km AK47 au SMG hawashiki askari wa kawaida angalia yule jamaa alishika silaha ya aina gani na kawaida maaskari hutumia silaha ya aina gani.
Halafu angalia Tz ni nchi ya aina gani.
Hii nchi ilizoea amani na tulikaa muda mrefu hatuna bugudha leo hii mtu km yule atokee unadhani inakuaje?
Tulishazoea amani na utulivu.

Wewe mbona mjinga sana
 
Jamaa hana mafunzo makubwa. Askari wanaonekana kukosa weledi na woga kupita kiasi.

Jamaa alikuwa open wamepiga risasi zaidi ya 20 wakimkosa kihasara jamaa ambaye yupo open na polisi wapo zaidi ya 10. Wanakimbia kimbia tu.

Ni udhaifu yeye ambaye hana mafunzo makubwa kuwapora askari smg na kuendelea kuwatandika kuua wanne. Mtu mmoja wamejibishana naye kwa nusu saa nzima. Wangekuwa watatu na wenye uwezo mkubwa?

Kwa woga wa polisi walishindwa hata kum netraulize wampate akiwa hai kwa mahojiano. Wamempiga risasi kaangua badala ya kufanya utaratibu wa kumpata hai wanaendelea kumpiga risasi mtu ambaye tayari isnt a threat. Ni woga. Woga wa hali ya juu.

Inaonekana waliendelea hata kuimiminia risasi maiti huko mbele wakiwa hawaamini kama jamaa amefariki.

Huyu alipaswa akamatwe mzima. Angepigwa risasi miguuni au sehemu ambayo isingemlazimisha kufa. Then wange mchukua kumtibu na kuja mhoji awaeleze kisa na mkasa.

Polisi acheni kuwa mnaonea tu raia wasio na silaha. Huyu jamaa ndo alikuwa kipimo chenu tosha.
nami nikubaliane na wewe, kuna mtu hapa ameandika page kirahisi tu "eti mtu mmoja auwa watu wanne kinondoni, basi"!!, yaani biala kuonesha hisia zozote kwamba kunaonekana uzembe wa askari wetu ?, kiukweli askari hawa wa ccm ni wazembe sana, wamezoea kuwavamia vijana wa chadema wakiwa hawana silaha na kufanyia mazoezi ya kurusha watu kichura, hiki ndio wanaweza, jamaa jana alionekana barabarani kweupe akiwa natembea bila hofu yeyote, lakini bado askari walikuwa wnahangaika kumvizia ili wamuattack, kama jamaa angekuwa amevaa bullet proof na angekuwa naujuzi wa kijeshi angewamaliza polisi wengi sana, na hawa ndio askari tulioambiwa na samia suluhu kwamba huwa hawezi kumkosa mtu kwa risasi, hivi risasi ngapi zilirushwa na askari jana na zinkaenda bure ??, lakini pia nimesikia kumbe wale polisi waliouawa walikuwa wamemuibia jamaa (muuaji) dhahabu zake huko chunya, kwa hiyo hapo dar alikuja kuwatafuta hao aliowaua, na akafanikiwa, hatuna polisi kwa kweli
 
Wewe unafikiri kuwa Polisi ambao wamekuwa trained kwa ajili ya kuitumikia CCM na kuhakikisha kuwa inachukua madaraka kwa mabavu kwa kuwadhibiti wapinzani wanaweza kupambana na uhalifu mwingine ambao ni tofauti na matendo ya wapinzani?Never!

8860003675.jpg
 
Ndo maana siku zote tunasema siku ukija ugaidi serious nchi hii tutaumia wengi.Maana jeshi letu la polisi liko hoi sana.achana na hizi drama za ugaidi wa mbowe na kukimbilia kuwakamata wanachama wa chadema wasio beba ata sindano.Ila ukweli ni kwamba nchi iko hoi kwenye mambo mengi hadi yakiusalama.Mifano ya karibu ni tukio la moto wa kariakoo na hili tukio.Wenye dhamana wakitafakari.
 
Tukio 1 tu limegeuza matukio mazuri maelfu na maelfu kuwa hakuna kitu na Askari kuonekana hawana maana.

Wapumzisheni Askari wetu jamani, siasa zenu za kipumbavu zisiwatoe hata ufahamu wa kuvukia barabara.
Unaelewa nini maana ya Jeshi. Jeshi sio mambo ya porojo na mzaha mzaha au kufanyia majaribio.tuwe serious.Hilo tukio ni tukio dogo sana ila kwasababu yajeshi letu kukosa utayari ndio maana unaona hali imekya hiyo.je ingekua ni tukio kubwa unadhani ingekuaje?.
 
Haya ni maoni yako ila tambua kuwa huyo jamaa alikuwa mobile siyo kuwa alikuwa kasimama tu. Ni lazima atakuwa na weledi mkubwa wa kutumia silaha hivyo lazima atakuwa na ana mafunzo kiasi ya kijeshi
Watoto wa kisomali babu zao ni wawindaji wakubwa wanaokataga vibali kabisa vya kuwinda kwahio mitutu huwa wanajua kuitumia vizuri tu na wanafundishwa ujasiri na shabaha!
 
Ukisema uwapeleke Hawa vijana kwenye nchi zenye migogoro wenye watoto wao wanaanza kulalamika eti unaenda kuwaulia watoto wao bila sababu.

Unajiuliza kama huwezi Kazi za jeshi ulienda jeshini kufanya nini? Ona Rwanda nk wanavyooeleka askari wao maeneo ya vita kupata uzoefu sasa watu wa hivyo mtaweza pambana nao?

Seems kizazi cha askari wa zama za Nyerere na Mwinyi kikiisha tutabakia na midebwedo na wapiga selfie tuu
 
Back
Top Bottom