Huyu Johnthebaptist Yuko Wapi?

Baada ya miaka kadhaa unashangaa JJM ni PM na PM ni katibu mkuu
 
Wengi wanajificha humu JF

Wachache wanajuana
Baadhi ya wengi hatujuani kwa sura wala adress zetu/mahali tunapoishi

Hatuna na hatutoi na hatupati mda wa kutoa taarifa unapopata janga la ghafla, unakuta unaweza ukafa asijue yeyote yulee, wachache wanaofamiiana ni vyema sana
 
Kama kuna yeyote aliyehamasisha watoto wa kitanzania kuingia barabarani na kwa bahati nzuri akapitiwa basi ni jambo la kheri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…