MwandikoUnanifananisha nae kwa vitu gani.?
Huyu biahara yake ya viroba vya pombe kali iliathiriwa vibaya sana na yale yaliyojiri wakati na baada ya MO29.Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Inawezekana.Mwandiko
Kwmba ameenda kwa kazi maalumu.Yuko Cuba by 100%
Hapana. johnthebaptist yuko CubaNew ID.
Decipher the codeKwmba ameenda kwa kazi maalumu.
Binafsi nimeizoea sana JF but ninao uwezo wa kukaa hata 3 months bila kuingia humu kabisa na ninaona kawaida tu.Kwa mtu alizoea JF, angekuwa anachangia hata mara moja moja.
Lakini inawezekana pia.
OCtober 29 claimed many good peopleHuyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
LAbda ndiyo alikuwa Polepole who knows ?Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Sema siasa ni uwanja flan wa kikatili sana wakati napitia huu uzi nlikuwa You Tube naangalia wimbo Fally Ipupa Ecole, nkamkumbuka Humphrey Pole Pole wakati wa JPM kuna video moja kwenye ukurasa wake wa Instagram alikua anacheza huu wimbo kutoka dakika ya 3:07 mpaka 3:46.
Huyu alikuwa na yuko Cuba...codeOCtober 29 claimed many good people
Aliacha kupost tangu Polepole alipopoteaNa mimi Binafsi nimetafakari kwa Muda Mrefu jamaa Kutoonekana Kukwaani.
Sijui watu wake wa Karibu watujulishe.
Nenda direct unaficha ficha niniHuyu alikuwa na yuko Cuba...code
Duh hatari sana, walimpolepoleHuyu alikuwa na yuko Cuba...code