sidhani kama amekubali kulamba teuzi kwenye utawala wa mchongo huuNa mimi Binafsi nimetafakari kwa Muda Mrefu jamaa Kutoonekana Kukwaani.
Sijui watu wake wa Karibu watujulishe.
Amegeuka kuwa Lucas MwashumbwaHuyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Huyu atakuwa ame- RIPAmegeuka kuwa Lucas Mwashumbwa