Huyu Johnthebaptist Yuko Wapi?

Huyu Johnthebaptist Yuko Wapi?

Alikua na slangs zake kama MLALE UNONO... NIWATAKIE DOMINICA NJEMA..

ALIKUA ANA MTINDO WA KUANDIKA HEADING KUBWA ... ILA KWENYE THREAD CONTENT MANENO MACHACHE.
Huyo jamaa alikuwa nimu Anglican, na ukijarubu kuangalia tena hapa utaone kuna mtu yupo humu ana vina saba yaki yohane sema kama anaviweka katika version mpya
 
Kuna watu wengi walipotea October 29...
Kuna watu walitoka tuu Kwenda mjini na mihangaiko yao... hawajawahi kuonekana mpaka leo
Siku iyo niseme konyagiiii ili save my Life..

Ilikua iviii mida ya saa tatu tatu ivii Nika amka oga nikawa na safari ya kwenda kunduchii ni zaidi ya 37km kutoka napo kaa nilikua na mihadi na rafiki yangu.

Nikaenda sokoni nunua kuku andaliwa na mazaga ya home kufikia saa tano piga konyagiiii nikasema nipeleke vitu home ndio niende kunduchii

Vituoni kulikua na watu wachache sana siku iyoo muitikio ulikua mdogo sana sanaa

Kufika home wife akanipa supu nikanywa mara usingiziii naamka saa 12 JIONI mtandao umezimwa wife akawa ananionyesha matukio kwa simu yake aliyo tumiwa mchana

Labda ninge enda kunduchii ningeforce kurudi yangenikuta
 
Vijiweni Kila mtu anasimulizi....

Kuna jamaa alienda Buguruni saa 5 ..kukaribia saa 6 mchana

Yaani kufika saa 8 mchana ni moto mkali na vurugu...akajibana sehemu mpaka saa 12 jioni

Hakuna usafiri..akaanza kutembea kuelekea Vingunguti ..akaona mbele zinakuja gari...ni ku shoot tuu ...
Yeye akajua Hawa wanashoot hewani...

Akawa anaona mbele Kuna mtu anapiga kelele ya miguu yake imevunjwa...
Akajibana pembeni kwenye uchochoro...

Akawa ameduwaa...akashangaa anaambiwa njoo huku kibarazani ndani utakufa ukikaa barabarani..
Anasema ilikuwa saa 2 usiku...alikaa hapo na kulala kibarazani mpaka Asubuhi..

Kesho yake alitembea mpaka barakuda...
Akapata usafiri mpaka Segerea...
Anasema hakujua kama usiku ule kulikuwa na risasi za kuvunja au kuua..
Yeye alijua ni mambo ya kawaida na jioni imefika wacha niende nyumbani...

Kuvutwa kwake na kuambiwa kaa hapa mpaka Asubuhi kuliokoa Maisha yake
 
Hiyo Id pamoja na yule mngoni lizaboni, ni kama Drones🤣 , when the storm is not calm ndio Zinakuja kama Battalion supporter. Sasa hivi zimepack 🤣🤣🤣
 
Umri mkuu.
Umri ukifika mambo mengi unaona ni utoto hasa kujibishana hapa JF

Hata mitoko inapungua inafika muda hata vinywaji unakunywa nyumbani na familia badala ya bar

Kila kitu na wakati wake yawezekana amefika maturity age ni umri wa kujitambua unajikuta unathamini familia zaidi kuliko marafiki na hata kuandika unaona uvivu unaishia kusoma tu

Jamaa atakuwa ana spend muda na familia yake sana kuliko kuchart hapa JF
Kwa hiyo unataka kumaanisha sisi tunaochat humu jf na kubishana hatujitambui?
 
Umri mkuu.
Umri ukifika mambo mengi unaona ni utoto hasa kujibishana hapa JF

Hata mitoko inapungua inafika muda hata vinywaji unakunywa nyumbani na familia badala ya bar

Kila kitu na wakati wake yawezekana amefika maturity age ni umri wa kujitambua unajikuta unathamini familia zaidi kuliko marafiki na hata kuandika unaona uvivu unaishia kusoma tu

Jamaa atakuwa ana spend muda na familia yake sana kuliko kuchart hapa JF
Kweli kabisa ✅
Lakini pia sometimes huwa tunaVanish from Earth 🌍 with our fake I’ds 🙄 who knows 😁 🫡 !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom