johnthebaptist

  1. R

    Mdude hachagui aseme nini na wapi!

    johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake. Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu yangu Mdude hachagui aseme nini na wapi! Mwanaharakati mzuri namuunga mkono sana, lakini kwa mazingira...
  2. R

    Johnthebaptist umeanza kuwa hovyo, jitafakari upya na maandishi yako!

    johnthebaptist Umewatukana chadema mpaka Moderators wakafuta uzi wako. Jitafakati! Kwa "heshima" yako humu JF, hukupashwa kuandika kitu kama hiki, to quote you! CHADEMA kwa kupenda 'mapochopocho' unaweza kukuta kikao cha Rais Mwinyi wamejazana Watanganyika badala ya kuwapa fursa Wazanzibari!
  3. R

    Naona siku mbili hizi Johnthebaptist hujatupia thread hapa JF, kuna nini?

    Wewe ni mmoja wa watunga thread kwa wingi per day, hapa JF. Kuna nini hujatupia? kama siku mbili hivi
  4. Orketeemi

    Soma hapa ili kufahamu kuhusu dhana ya Awamu ya Sita kama inavyotumiwa na Rais Samia

    Wanabodi! Wengi wanaamini Rais Samia Suluhu Hassani hayupo sahihi kusema yeye ni Rai's wa awamu ya sita. Kutokana na watu wengi kuwa na mkanganyiko juu ya suala hili naomba nifafanue Kama ifuatavyo. Nafikiri Kwanza tujue maana ya neno lenyewe " Awamu" Kimaana neno hili haliendi kinyume na...
  5. N

    Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

    Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama...
  6. M

    Ushauri wa bure kwa TAMISEMI na Serikali kwa ujumla

    Baada ya Mchakato wa Ajira kukamilika na Majina kutoka Sasa kumekuwa na lawama nyingi Sana kwenda Kwa Tamisemi. Mimi nilikuwa na Ushauri Kama ufuatao.... 1. Kuna ulazima Gani wa watu kwenda Kuripoti ilhali lawama zimekuwa nyingi na Watu wamekosa Imani kabisa na Serikali yetu ya CCM Kupitia...
  7. M

    Je, ni vyuo gani vinaongoza kwa kutoa wasomi walioiva vizuri Tanzania?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha kusoma University of Dar es salaam n.k hivyo kujikuta wanaangukia kwenye kapu la Udom. Vivo hivyo...
Back
Top Bottom