GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,439
- 17,315
Yule si alikuwa jembe&nyundo kindakindakiIsije kuwa kesha ingia kwenye orodha mpya ya watekwaji tu?Kwani vibakora bado tunatembeatembea!Jo popote ulipo fanya kama unajikuna tukuone tafadhali!
Nilitokea ndio, ila nilikuwa na mbio balaa..Ulitokea kweli?
Kupambana na maaskari.
Assignment aliyopewa ameikamilisha yupo hapa ofisini anaandaa ripoti ili awasilishe huko juu kwa wakubwa.Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Usirudie tena.Nilitokea ndio, ila nilikuwa na mbio balaa..
Kwanini?Usirudie tena.
sio mwelekeo utakaoleta matokeo mazuri.Kwanini?
Matokeo mazuri ni yapi?sio mwelekeo utakaoleta matokeo mazuri.
Njoo nyumbani nikuoneshe.Matokeo mazuri ni yapi?
Utaula wa chuya!Njoo nyumbani nikuoneshe.
Vitu vizuri haviwekwi hadharani.
Njoo basiUtaula wa chuya!
Niko njianiNjoo basi
Nipo Keko maghorofaniNiko njiani
DuuuhHiyo Id pamoja na yule mngoni lizaboni, ni kama Drones🤣 , when the storm is not calm ndio Zinakuja kama Battalion supporter. Sasa hivi zimepack 🤣🤣🤣
Yupo inasemekana ndiyo yule rais wa tielo... Kuna uzi mmoja wa mdau humu jamvini unaelezaAu BAK yuko wapi huyu mtu
Umri ukifika mambo mengi unaona ni utoto hasa kujibishana hapa JF
Yupo kidamali anapiga ulansi.Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Yupo rafiki yake P,aseme neno tujue alipo JohnthebaptistYule si alikuwa jembe&nyundo kindakindaki
Isije tu lbda ile Oct alisema akashangae ndiyo yakamkuta....
Zaidi ya hapo labda kajichimbia tu
Ova
Umemaliza kila kitu.Umri mkuu.
Umri ukifika mambo mengi unaona ni utoto hasa kujibishana hapa JF
Hata mitoko inapungua inafika muda hata vinywaji unakunywa nyumbani na familia badala ya bar
Kila kitu na wakati wake yawezekana amefika maturity age ni umri wa kujitambua unajikuta unathamini familia zaidi kuliko marafiki na hata kuandika unaona uvivu unaishia kusoma tu
Jamaa atakuwa ana spend muda na familia yake sana kuliko kuchart hapa JF