Yuko wapi Stergomena Lawrence Tax?

Yuko wapi Stergomena Lawrence Tax?

Katika umri wa miaka 66 kwa nafasi ya kuzindua majengo, semina, mikutano, warsha na makongamano sio mbaya sana!!

Nimemkumbuka huyu mama, yuko wapi siku hizi?
Ingia YouTube channel postcard ya Salma Dakota na mjenga ( M&S) LAST WEEK ALIFANYIWA MAHOJIANO NILIPATA KUMJUA VIZURI HUYO MAMA

yupo vizuri hazeekii ngozii laini anameremeta kama bintii wa 18 mpaka 25

Itafute kazungumza mengi kwa Sasa amejikita na taasisi yake ya KULEA WAZEE huko njia ya kwenda bagamoyo
 
Huyu si alishiriki kuwamaliza Gen Z MO29? alikua anasifiwa sana akiwa SADC cha ajabu sijaona jipya lolote alipokuja Tanzania.

Mbaya zaidi ameua Gen z na bado akaingia kwenye kamati ya kujichunguza mwenyewe!!

Nadhani kati ya watu waliopaswa kuwa jela au ICC ni huyu Mama Tax cha ajabu mnamjadili nafasi ya umakamu? Tutaamka lini WaTanzania?
 
Ingia YouTube channel postcard ya Salma Dakota na mjenga ( M&S) LAST WEEK ALIFANYIWA MAHOJIANO NILIPATA KUMJUA VIZURI HUYO MAMA

yupo vizuri hazeekii ngozii laini anameremeta kama bintii wa 18 mpaka 25

Itafute kazungumza mengi kwa Sasa amejikita na taasisi yake ya KULEA WAZEE huko njia ya kwenda bagamoyo
Hv yule ni pure kienyeji ama ana uchotara msee
 
Kipenzi chetu
Screenshot_2025-07-11-11-53-58-13_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~3.jpg
 
Back
Top Bottom