huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Yaani huyu Mama

  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Huyu Boss mwenye Custom Number Plate 888 Ni nani? Yupo humu JF?

    Mi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana? Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I
  3. M

    JamiiForums Tanzania Heche ataka madereva wa serikali kulipwa pensheni

    Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa namba 7 mpya wa timu ya taifa ya Portugal

    Nampongeza sana kocha mpya wa Ureno kukataa kupelekeshwa na mtu aliezeeka mda wake umeisha lakini Bado analazimisha kucheza mpira. Wakati mwenzake kule Argentina anaagwa kwa heshima baada ya kuipatia mafanikio makubwa sana timu ya taifa, mwenzake huku anafurushwa. Kwasasa Portugal itakua timu...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huyu susan mutami ni nani? Alitabili kuwa wicknell (bonge) atakufa katika ajali ya ndege na akaambia watu wa-save post yake huko x na imetokea kweli

    Jus a coincedence?
  6. Gengis Khan wa Jf

    JamiiForums Tanzania Duh ! jina la huyu member siwezi kulisoma wala kuliandika .

    Hii imekaaje mods ? 👇👇
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania NAMPENDA SANA MALAIKA CUTEE, NAVUTIWA NAE SANA♥️ NIFANYEJE NIMPATE HUYU DADA,

    Wakuu nimeshajaribu kurusha verse insta hollaaaa nipeni mbinu wazee wa town, bajeti yangu laki tatu cash wakuu hata kwa one night stand hata kuoa nipo tayari wakuu
  8. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga, hivi huyu Yericko anayedandia ubini wa Nyerere wazazi wake na ndugu zake wanajisikiaje?

    Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje? Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kigogo, ni nani huyu aliyeuandama utawala wa awamu ya tano na sasa yuko kimya...

    Huyu jamaa ni nani... Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha... Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi... Kwanini yuko kimya katika utawala huu? Je mambo aliyopigania yamepatikana? au hakuupenda tu utawala...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusheni Ya Kuwa Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile. Huyu ni Zaidi ya Alexander The Great. Msimjaribu Mtaumia Vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaambieni na Kuwakumbusheni Ya Kuwa Mwamba Mwenyewe Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile katika vita zote alizowahi kupigana . Mwamba hajawahi kupoteza wala kuweka silaha chini katika Uwanja wa Vita . Mwamba hajawahi kurudi nyuma ...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sheikh ameelezea Peponi kulivyo nimevutiwa sana. Uislamu una raha sana. Huyu mwanamke wa peponi ni balaaah wallah

    Kifuani ana screen..... Unaona kama a akupenda au anakudanganya. Hapo ana macho kama ngumi, bikra kila unapomaliza inajirudi. https://www.instagram.com/reel/DdnzJVFu5qJ/?stkn=MXEzaWllcGd4M253MA==
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu mtoto ni Full Package. Mpaka naogopa anaweza kuwa jini siyo binadamu

    1. Amefanikiwa kupata makebo ya haja 2. Kiuno yaani laini chepesi 4. Kifuani tanganian zimejaa zimevimba 5. Rangi ya mtume. . Yaani ukimlainisha mpaka unaweza kinga kwenye kibakuli ukaenda kutumia kwa mwingine. Hapa huwezi pata ngoma kabisa. Wa motoooooooooooooo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Misukosuko mikubwa inamkuba, wananchi wanazidi kumchukia. Huyu rais atamaliza 2030?

    Tangu tupate uhuru hakuna rais ambae amekumbwa na kadhia ya kuchukiwq na hata kutawala kwa kulazimisha tu. Je, atamaliza hii ngwe mpaka 2030? Amechukiwa sana zaidi hata ya Hitler wa Ujereman
  14. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Hivi wakuu unapata msupu kama huyu ameridhika na wewe na anakuheshimu ndani yaani hata kama unapitia ugumu flani ukirudi ukiona ua lako moyo unapoa

    chocolate colour, Tumbo halina nyama nyama, Kimo cha wastani, Makebo malaini, Awe na feelings kali wakati wa sex ili nimketekenya kunani amwage hydro ya kutosha Shape hourglass, Asiwe na dharau, Asiwe na kisirani Maziwa mazito ili niwe naweka uso wangu na rotate kichwa Kwa bahati mbaya hizi...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo nyoka mzuri zaidi duniani.

    Anaitwa Rough Scaled Bush Viper. Anapatikana Afrika ya Kati na Mashariki. Tanzania, DRC, Uganda na Kenya. Wahaya mmewahi muona huyu huko kwenu?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tujihoji kwa akili: Dereva aweke plate namba bandia alafu atishie mtu kwa toy, huyu ni mtu salama?

    Atakaye amini huu uongo na uzandiki basi atakuwa hajiyambui. Yaani mtu abadilishe gari namba zake. Alafu achukue bastola ya kuchechezea watoto alafu atishie mtu hadharani. Hajui madhara yake? Je angepigwa yeye risasi ya ukweli. Je wananchi wangemshambulia na kumuua?
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Diamond alikuwa ametumia nini mbona kama anapepesuka?

    Staa wa muziki, Diamond Platnumz, ameonekana akishuka kwenye gari la kifahari aina ya McLaren huku akiwa amezungukwa na walinzi wake binafsi (bodyguards) ambapo anaonekana akipata changamoto kidogo wakati akitoka ndani ya gari hilo lenye milango inayofunguka kuelekea juu, hadi kufikia hatua ya...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Ukishangaa ya Kawe, Utastajaabu ya huyu mwambo hapa. Mind you hii sio comedy show

  19. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Huyu Tlaatlaah inaelekea analipwa pesa nzuri kuliko Lucas Mwashambwa

    Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye. Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye...
  20. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwalimu agomea kuhama, vitu vyake vyatolewa nje Siha

    Familia ya aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Sekondari Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, imelazimika kulala nje kwa siku sita baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kufungwa na mali zao kutolewa nje, kufuatia uamuzi wa kumtaka mwalimu huyo kuondoka katika nyumba hiyo. Mwalimu huyo, Omary...
Back
Top Bottom