Malizia maswali, iko wapi na inamilikiwa na nani?
Inatibu viongozi tu wa kitaifa na usalama na familia zao? Au mtu yoyote anakuwa admitted? Toa location tukapime malaria hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaSikuwahi kuisikia, ndio nimeisikia leo
🤔Haya yoooote ya mzena. Wingi wa dawa. yameibuka baada ya viongozi wa kiafrica kupigwa beat Ulaya.
Hakuna kwenda pata tiba huko wakt viongozi mna covid. Halafu mnajifanya hamna nchini.
Malizaneni huko huko hamtaki mfe nyie kwanza.
Jiwe kaona maweee!! twafa ndo hako ka Hospital sasa kameanzishwa. Msione hivi Rose angerushwa kwa gharama za mkuru lkn aende hosp gani ulaya akubaliwe?
Kwanza atatumia kiwanja kipi kushuka? Lazima anarudishiwa hapo hapo hata drip hawekewi.
Jiwe muone tu hivi hivi. ujanja mwingiiii lkn akipata covid havuki mpaka.
Atakoma km akipata covid aombe Mungu sana usiku na mchana na awe mwema kwa watu wake asiwateke. Kuwakebehi.
Kuwafukuza kazini madaktari km mbwa. Eti anawaita fake mtu anakuokoa? Sasa leo fake watakufaa!
Yoote hii ni ili awe salama na bongo hkn dawa mpaka huruma ya waleeee mabeberu anaowatukana kila leo! Ila jamani wana moyo! Khaa!
Akibisha tu. Dawa za majaribio zitaanzia kwa familia yake! Subirini
Hii hospital iko pale makumbusho kwenye makaaazi yale ya usalama wa taifa
Ukitoka makumbusho kama unaenda moroco mkono wa kushoto kuna njia inaingia kuna majengo kama apartment kuna ulinzi mkali sana huwez hata kusogea hapo nd usalama wa taifa wanapoishi na ndipo hiyo hosp ilipo
Wanatibiwa viongozi wakubwa pekee
Huwez ndo kwa mara ya kwanza tunatajwa kitaifa
KumbeYa maofisa usalama na viongoz wakubwa wa kitaifa
Nadhani wewe bado ni mtoto mdogo ....Emilius Mzena alikuwa DG wa Kwanza (au wa pili?) wa Usalama wa Taifa...Hii hospitali inayoitwa Dr mzena iko wapi na inamilikiwa na nani na huyo Dr mzena ninani hasa? Yupo au alikuwa hospitali gani?
Kumbukumbu ya mzee Emilio mzena alikuwa mkuu wa usalama wa taifa zamani kama ilivyo kwa mfigale kwa mkapa au kwa kijaziKwa nini inaitwa Mzena?
we jamaa umenichekesha ha ha ha ha ha trafiki akilishika lile anaweza kuvuliwa unifomu akapelekwa ffuZile namba zao unaweza ukasema akikutana na trafiki hatoboi.
Cha kushangaza trafiki hata habari nae hanaa.
we jamaa umenichekesha ha ha ha ha ha trafiki akilishika lile anaweza kuvuliwa unifomu akapelekwa ffu
Kijitonyama, ni hospitali ya TISS.Hii hospitali inayoitwa Dr. Mzena iko wapi na inamilikiwa na nani na huyo Dr mzena ni nani hasa? Yupo au alikuwa hospitali gani?