Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

Hii hospitali iko pale Makumbusho kwenye makaaazi yale ya usalama wa taifa
Ukitoka Makumbusho kama unaenda Moroco mkono wa kushoto kuna njia inaingia kuna majengo kama apartment kuna ulinzi mkali sana huwezi hata kusogea hapo nd usalama wa taifa wanapoishi na ndipo hiyo hosp ilipo
Wanatibiwa viongozi wakubwa pekee
 
Haya yoooote ya mzena. Wingi wa dawa. yameibuka baada ya viongozi wa kiafrica kupigwa beat Ulaya.

Hakuna kwenda pata tiba huko wakt viongozi mna covid. Halafu mnajifanya hamna nchini.

Malizaneni huko huko hamtaki mfe nyie kwanza.

Jiwe kaona maweee!! twafa ndo hako ka Hospital sasa kameanzishwa. Msione hivi Rose angerushwa kwa gharama za mkuru lkn aende hosp gani ulaya akubaliwe?

Kwanza atatumia kiwanja kipi kushuka? Lazima anarudishiwa hapo hapo hata drip hawekewi.

Jiwe muone tu hivi hivi. ujanja mwingiiii lkn akipata covid havuki mpaka.

Atakoma km akipata covid aombe Mungu sana usiku na mchana na awe mwema kwa watu wake asiwateke. Kuwakebehi.


Kuwafukuza kazini madaktari km mbwa. Eti anawaita fake mtu anakuokoa? Sasa leo fake watakufaa!

Yoote hii ni ili awe salama na bongo hkn dawa mpaka huruma ya waleeee mabeberu anaowatukana kila leo! Ila jamani wana moyo! Khaa!

Akibisha tu. Dawa za majaribio zitaanzia kwa familia yake! Subirini
🤔
 
Zamani iliitwa Ikulu clinic (Ikulu hospital)

Mpaka nahisi mwaka 2005 ilipobadilishwa jina na kupewa jina la Emilio Mzena Memorial hospital

Ikiwa ni kumuenzi aliyekuwa DGIS wa kwanza nchini (mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa wa kwanza nchini) marehemu Emilio Mzena

Mmiliki wa hospitali ni Idara ya usalama wa Taifa

Ipo Makumbusho eneo ambalo pia ni kota za PSU
 
Back
Top Bottom