Naomba ufafanuzi wa haya kuhusu Ofisi ya Rais wa Nchi na Idara ya Usalama wa Taifa

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Straight to the point:-

1. Je, Sera ya Idara ya Usalama wa Taifa ni ipi?

2. Je, Dhima ya Ofisi ya Rais wa Nchi ipi?

3. Hivi, kwa mfano ...Taifa likiwa kwenye Dangerous au Critical situations...ni nani au chombo kipi kinalo jukumu la kutusaidia?

Reminder: Commando Lady JeyDee wa Machozi band aliwahi kuimba , and I quote " MBONI ICHAFUKAPO JICHO HUWA MASHAKANI, NI MBALI WEWE ULIPO NA SIJUI U-KHALI GANI "

IMG_20231025_200950.jpg
 
Nenda ofisini kwao kawaulize
Niliwahi kwenda kuwauliza;-

Pale ofisini nilimkuta Mama mtu mzima....akaniambia nisubiri kwanza kwenye benchi kwani alikua na mtu mwingine anamhudumia.

Lakini kwà mbaaali nikawa namzoom kwenye kioo cha dirisha lake la ofisi lililokua tinted:

Kumbe Bwana alikua akiwapa maelekezo wasaidizi wake namna ya kutambua kama nami pia naijua sera ya Idara ya Usalama wa Taifa.

BASI Bwana:- nikaona kibinti chembamba Hakina hata nyama wala makalio kinapita mbele ya benchi langu....sikukitizama

Mara ghafla akapita mdada mwingine na nyama zake ( alikua na makalio makubwa) ...sikumtizama pia.

Note: Wadada wote walivyokua wakipita mbele yangu...nilikua nimeconcetrate kuangalia pale dirishani ...na nikawa namwona bosi wao akiniangalia endapo nitageuka kuyatizama yale Matako ya wale wadada.

Baadae nikasikia " Hana sera huyu "
 
Ukiona nchi ni Maskini jua "wavaa miwani myeusi" hawana uwezo!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Sio kweli
 
Straight to the point:-

1. Je, Sera ya Idara ya Usalama wa Taifa ni ipi?

2. Je, Dhima ya Ofisi ya Rais wa Nchi ipi?

3. Hivi, kwa mfano ...Taifa likiwa kwenye Dangerous au Critical situations...ni nani au chombo kipi kinalo jukumu la kutusaidia?

Reminder: Commando Lady JeyDee wa Machozi band aliwahi kuimba , and I quote " MBONI ICHAFUKAPO JICHO HUWA MASHAKANI, NI MBALI WEWE ULIPO NA SIJUI U-KHALI GANI "

View attachment 2792699
Hakuna usalama wa Taifa Tanzania. Tunawachumia tumbo Uvccm
 
Straight to the point:-

1. Je, Sera ya Idara ya Usalama wa Taifa ni ipi?

2. Je, Dhima ya Ofisi ya Rais wa Nchi ipi?

3. Hivi, kwa mfano ...Taifa likiwa kwenye Dangerous au Critical situations...ni nani au chombo kipi kinalo jukumu la kutusaidia?

Reminder: Commando Lady JeyDee wa Machozi band aliwahi kuimba , and I quote " MBONI ICHAFUKAPO JICHO HUWA MASHAKANI, NI MBALI WEWE ULIPO NA SIJUI U-KHALI GANI "

View attachment 2792699
Chama chawala kimeshika hatamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom