Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

Ni ile ile ambayo alilazwa Mjane wa Baba wa Taifa miezi kadhaa mwaka huu na kila ilipokuwa ikitolewa taarifa za Kumhusu ikawa haitajwi katika Maelezo na inafichwa. Na leo tena nimeona Mtu mwingine Muhimu na Nyeti kabisa nchini Tanzania nae amelazwa hapo hapo tena katembelewa na Mheshimiwa Namba Moja lakini Jina la hiyo Hospitali limefichwa tena.

Nikiwa kama Mtanzania naomba Kuijua hiyo Hospitali ili nami nikamtembelee Kiupendo huyo Mgonjwa Kesho mapema tu.

Hospital ya usalama wa taifa oale kijitonyama wana hospitali yao kubwa tu mzena ndo mpango mzima na wametengewa jengo lao kabs muhimbili ni kama pharmacy tu kwao
 
Maji yaliyopita usiku yalikataa kuchotwa mchana
 
Hospital ya usalama wa taifa oale kijitonyama wana hospitali yao kubwa tu mzena ndo mpango mzima na wametengewa jengo lao kabs muhimbili ni kama pharmacy tu kwao
Wanaozimia kwenye uchunguzi wanaenda kupepewa hapo. Mtoa mada kama amepapenda atafute mambo magumu halafu wamuweke kati mpaka akizimia. Ataijua hiyo hospital iko wapi
 
Ni ile ile ambayo alilazwa Mjane wa Baba wa Taifa miezi kadhaa mwaka huu na kila ilipokuwa ikitolewa taarifa za Kumhusu ikawa haitajwi katika Maelezo na inafichwa. Na leo tena nimeona Mtu mwingine Muhimu na Nyeti kabisa nchini Tanzania nae amelazwa hapo hapo tena katembelewa na Mheshimiwa Namba Moja lakini Jina la hiyo Hospitali limefichwa tena.

Nikiwa kama Mtanzania naomba Kuijua hiyo Hospitali ili nami nikamtembelee Kiupendo huyo Mgonjwa Kesho mapema tu.
Ipo kusikojulikana mkuu
 
Hospital Ipo Hapo Maeneo Ya Hapo Ilipo Millennium Tower, Hadi Merry Water Hilo Eneo
 
Kako kahospital ambako kako masaki kana bei hako hatari sana / huduma zake ni za #WORLD-CLASS.
 
Ni ile ile ambayo alilazwa Mjane wa Baba wa Taifa miezi kadhaa mwaka huu na kila ilipokuwa ikitolewa taarifa za Kumhusu ikawa haitajwi katika Maelezo na inafichwa. Na leo tena nimeona Mtu mwingine Muhimu na Nyeti kabisa nchini Tanzania nae amelazwa hapo hapo tena katembelewa na Mheshimiwa Namba Moja lakini Jina la hiyo Hospitali limefichwa tena.

Nikiwa kama Mtanzania naomba Kuijua hiyo Hospitali ili nami nikamtembelee Kiupendo huyo Mgonjwa Kesho mapema tu.
Viongozi wa nchi wewe huna nafasi ya kumuona ukiwa mgonjwa isipokuwa ndugu zake na viongozi wa daraja lake. Acha umbea maana mlivyo wambea hata mkiona ufa kidogo kwenye geti utasema hospitali ya viongozi inaporomoka.
 
Ipo eneo la Makumbusho, imepakana na kijiji cha Makumbusho upande wa kushoto ukiwa unaelekea eneo la Victoria. Ni kwa ajili ya viongozi na maofisa usalama na familia zao, ingawa nasikia wenye bima wanatibiwa. Ni hospitali nzuri kwa maana ya huduma, vifaa na utaalamu. Inamilikiwa na serikali, na imepewa jina la Mzena ikiwa ni kumbukumbu ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Emilio Mzena

Asante kwa deatails
 
Ukiwa na bima za kawaida? Na pale getini unapitaje?[/QUOTE]Kama si mwanafamilia husika hutibiwi mpaka ruhusa maalumu hata kama una bima. Hii ni ya wenyewe wao kama wao
 
Back
Top Bottom