Hivi vifaa vya kujengea nyumba za viongozi huwa vinanunuliwa wapi? Nyumba moja kugharimu milioni 838

Huo ndio uharamia haswaaaa!!!!!!
 
Acha uwongo jombaa nimetembelea Halmashauri kadhaa wanatumia mfumo wa force account... Baada ya kushinda tenda mkandarasi husika. Afisa/procurement officer anaenda kununua vifaa vya ujenzi kiwandani mfano mabati, simenti, misumari and gypsum, etc so bei inakuwa cheap kuliko mtaani kwenye hardware....
 
Hizo zinajengwa kiusalama zaidi.

Nyingi zinakua na milango&vitasa special, mahandaki mengi ya usalama, vyumba vya kuhifadhia silaha, vyumba vya kutorokea, kumbi za mikutano na mifumo kibao ya ulinzi.

Ndo maana zinatumika Sana Kama IKULU NDOGO endapo RAISI atafika mkoa au wilaya husika..

Ukiskia nyumba ya mkuu wa wilaya au mkoa, hawazungumzii nyumba zetu hizi za chumba tatu na sebule.

Hapa inazungumzwa.
Ni mkusanyiko wa majengo mengi ndani ya eneo Moja.
 
Kila mkoa una Ikulu ndogo labda mikoa mipya iliyoanziashwa hivi karibuni.
 
Hiyo budget imeanza andaliwa miezi sita iliyopita Ummy Mwalimu kakuta mambo tayari haijaandaliwa ndani ya mwezi mmoja.
 
Tafuta pesa bwashee
Shida siyo kutafuta pesa, halafu huko huko wanakomjengea nyumba mkuu wa mkoa kwa zaidi ya milioni 830 pesa ya vifaa tiba kwa mkoa ni milion 300 hivi. Kama wangepeleka bilion mbili walau ingemake sense.
Hatuko serious na maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…