Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,989
- 2,954
Unatetea mini?!
Kupanga ni kuchagua vipaumbele kwa wananchi!
Hivi bro ikiwa kwako nyumbani wanao wana njaa, ktk mishe umebahatika kupata buku!
Badala Ununue unga nusu na robo wanao wale unaenda wanunulia Maputo?!
Itakuwa umeitendea haqi familia yako??
Nimeamini aliye shiba hamkumbuki mwenye njaa
Wewe kula kwa utefu wa kamba yako, using’ang’anie vitu vya Maputo! Kila moja hucheza mkono unapofika, ndiyo maana kuna watu wana nyumba za miti zilizoezekwa nyasi na wanaishi na kushiba!