Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 2,653
- 4,860
Kwani Mkuu wa mkoa yeye ni Mungu? ana tofauti gani na hao wananchi ambao watoto wao wanakaa chini shuleni hawana madawati, walimu wamechoka hawana matumaini ,hivi Nyerere angekua mbinafsi na mpuuzi wa kiasi hiki hii nchi si ingekua ya ajabu sana , hili halihitaji elimu it is simply crap
Maisha lazima yaendelea
Ww ungekuwa ni mkuu wa mkoa ungekaa kwenye nyumba ambayo inavuja?