Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Nyumba Mwaka 2023

Aliko Musa

Senior Member
Aug 25, 2018
156
240
PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;-

✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja, mashamba na majengo.

✓ Kutoa huduma za udalali wa viwanja, mashamba na majengo.

✓ Kusimamia nyumba za kupangisha.

Kwenye makala iliyopita nilikushirikisha utangulizi wa kuanza kujenga mtandao mkubwa wa mauzo ya viwanja, mashamba na majengo. Mikoa yote huduma za udalali zimeshamiri, lakini majiji haya yameonyesha uwepo wa idadi kubwa ya madalali;-

✓ Jiji la Dar Es Salaam.

✓ Jiji la Arusha.

✓ Jiji la Mwanza.

✓ Jiji la Mbeya.

Huduma Ya Udalali Wa Viwanja/Nyumba.

Kwa kuwa nipo kwenye mchakato wa kujenga mtandao mkubwa wa mauzo ya viwanja, mashamba na majengo nitaanzisha huduma za udalali. Nitatumia mtandao wangu ninao ujenga kutangaza huduma zangu za udalali.

Je Kwanini Nianzishe Huduma Hizi 3?.

Hii ni kwa sababu nimeamua kupambana na adui umaskini. Siwezi kusubiri muda mrefu kuanza kupambana na adui huyu. Badala yake ninatumia nyenzo zifuatazo kuanza vita;-

✓ Simu janja (smartphone).

✓ Mtandao wa intaneti.

✓ Elimu ya kuelewa (kusoma, kuandika na kuongea) lugha ya taifa (kiswahili) na ile lugha ya kitaifa (kiingereza).

✓ Idadi kubwa ya watu wanaonizunguka. Hawa nitawatumia kutangaza huduma zangu za udalali kwa mkomo wangu na njia nyingezo.

✓ Muda. Ninaanzaje kukosa saa 3 za kufanya huduma za udalali?. Ninaanzaje kukosa saa 3 za kujenga mtandao mkubwa wa kidigitali wa mauzo ya viwanja na nyumba?. Ninaanzaje kukosa saa 1 ya kukagua nyumba na mazingira yake ambayo mimi nimepewa kuisimamia.

✓ Notibuku nzuri na imara. Hii ni kwa ajili ya kuchukulia maelezo ya nyumba, viwanja na mashamba.

Kwangu mimi hizi ni nyenzo muhimu sana. Kwa nyenzo hizi, hali yangu inaweza kubadilika wakati wowote. Muujiza upo kwenye mikono yangu, akili zangu na moyo wangu ili nikukae kwenye mchakato wa mpango wangu huu mzuri.

Je nina anzia wapi sasa?.

Nitachukua ramani ya mkoa wangu. Nitaangalia kata zote. Katika kata zote za wilaya nilipo ni lazima nichague kata ambayo ina sifa zifuatazo;-

✓ Idadi kubwa ya watu.

✓ Kata yenye sera nzuri za serikali za ndani ya miaka 5 ijayo kwa kulinganisha na kata zingine za halmashauri yangu.

✓ Iwe na huduma bora za kijamii.

✓ Iwe ina usanifu mzuri sana wa viwanja vyake na majengo yake.

✓ Iwe na chanzo kimoja cha ajira rasmi au isiyo rasmi. Chanzo hiki ndicho kitakuwa kivutio cha wateja wangu tarajiwa.

Kazi hii inafaa zaidi nifanye maeneo ya mijini, sehemu ambazo kuna nyumba za kupanga. Nyumba za kupangisha ni eneo zuri la kuanzia kutoa. Baadaye nitaweza kunufaika zaidi na kamisheni za mauzo ya viwanja na nyumba.

Baadaye nitaongeza bidii kwenye majengo makubwa kama vile apatimenti kubwa sana, hoteli kubwa, na kadhalika.

Kwa vijijini na maeneo ya mjini yanayokua dili za viwanja na mashamba ndiyo kubwa kuliko dili za nyumba za kupangisha.

Huu umekuwa ni mwanzo tu kwangu. Malengo yangu ni kumiliki kampuni kubwa ya huduma za udalali na huduma zinazohusiana.

Kuanza Udalali Kwa Vitendo.

Moja.

Nina chagua eneo kata/mtaa mmoja.

Hapa nitachagua eneo ambalo ninataka kufanya udalali wangu. Kwa mwanzoni ni lazima niwe maarufu kwenye eneo dogo (kata au mtaa).

Endapo nitaanza kutoa huduma za udalali kwa muda wa ziada, nitachagua mitaa michache. Hii itanisaidi kufahamika haraka sana, itanisaidia kukumbuka mitaa na nyumba zake.

Endapo aibu itaniingia nitachagua kata ya mbali ninapoishi. Nitakuwa ninaamka asubuhi na kwenda kata ninayotoa huduma za udalali.

Udalali ni huduma ambayo kwetu sisi Tanzania inatazamwa kama kazi ya mikia, watu tusio na kazi ya kueleweka. Lakini nafsi yangu imeona kuwa udalali wa ardhi na majengo ni kazi halali.

Hii ni kazi ambayo inaweza kunifanya nipige hatua moja mbele. Hatua moja leo, moja kesho, nyingine kesho kutwa hatimaye ninamiliki kiwanja au nyumba ya kupangisha.

MBILI.

Ninaanza kufanya mazungumzo.

Ninatumia mbinu suluhishi ambayo nimeiandika kwenye kitabu changu kiitwacho LUGHA YA BIASHARA YA VIWANJA NA NYUMBA. Hii ndiyo mbinu bora sana kwangu ya kufanya mazungumzo kwenye dili zote za ardhi na majengo.

TATU.

Ninaanza kuzungumza na mnunuzi/mpangishaji.

Hakuna yeyote ambaye atakuja na kuniambia kuwa anapangisha nyumba. Pia, wenye nyumba wengi huwa hawatupendi madalali. Hivyo, mbinu yangu ya kuanza kazi hii ni kuzunguka nyumba hadi nyumba kutafuta vyumba vya kupangisha.

Ninaanza na vyumba vya kupangisha kwa sababu mbili (2);-

✓ Kuna idadi kubwa ya vyumba vya kupangisha hapa mjini.

✓ Kuna idadi kubwa ya wapangaji wa kawaida wa nyumba au vyumba.

Hivyo, ningekuwa ninaanza udalali kwenye halmshauri ambayo uuzaji wa viwanja na mashamba umeshika kasi ningewekeza nguvu huko.

Ninaulizia chumba kama ninataka kupanga, ninakikagual na ninaangalia vitu muhimu vilivyopo, kwamba chumba labda kina tiles, kina umeme, choo kikoje na vitu vingine.

Hapo ninatafuta kama mteja, nikiwa hapo kwenye chumba, ninatoa notibuku yangu. Nitaandika kama hivi;-

✓ Mmiliki wa chumba/nyumba = Amenye Mwamposa.

✓ Mtaa = Mwambene.

✓ Nyumba = Na.34

Sifa zingine nitaziweka kwenye picha za simu yangu. Nikija kumleta mpangaji nitaweka wazi kuwa mpangaji ndiye anatakiwa kunilipa endapo mwenye nyumba hatapendezwa kuniona kwake kama dalali.

NNE.

Jinsi ya kulipwa.

Kiwango changu cha kulipwa itakuwa ni 10% ya kodi inayolipwa na mpangaji kwa wakati huo. Lakini kamisheni hii inaweza kupungua kutokana na mazingira yaliyopo.

Nitajenga uaminifu kwa kutaka kulipwa kwa uhalali. Hii itapelekea nijenge wateja wa kujirudia rudia. Hivyo, nitaendelea kupata wateja wengine wapya. Wateja niliowahumia vizuri watanisema vizuri kwa jamaa zao.

TANO.

Njia mahalia za kujitangaza.

Ninaanza kujitangaza kama dalali, vijiweni vya bodaboda, stendi za magari na mitandao ya kijamii. Kwa kuwa nimeamua kuwa dalali ni lazima kujitangaze bila kuhisi aibu.

Nitaongelea kuhusu mambo ya viwanja na nyumba nikiwa kwenye vijiwe. Nitaweka namba yangu ya simu sehemu ambayo inaonekana vizuri na ipatikane muda wote. Kwa baadaye nikifungua ofisi,

Pili jitangaze kwa bodaboda, hawa ndiyo wanabeba wateja wanaotafuta vyumba, juana nao, wape namba zako, hakikisha vijuwe vyote vya bodaboda wanakujua. Kuna madereva wa maguta, Kirikuu na malori, hawa wanabeba wanaohama hivyo ni rahisi kujua kuwa chumba kipo wazi sehemu flani.

Muhimu hapa ninatakiwa nisiwe na mbinafsi, mtu akiniunganisha dili ninampa pesa ya kula siku hiyo.

Lakini mtu akikuunganishia dili ladba dereva, siku ukisikia mtu anahama au mteja wako akihamia kwenye nyumba unayompeleka basi nayeye muunganishie dili la kubeba mizigo. Hayo ndiyo mahusiano ya kikazi akiona akikupa dili na wewe unampa dili basi ni lazima akupe dili. Jitangaze katika mitandao ya kiijamii, hapa mwanzo hutapata wateja lakini utakua unatengeneza brand yako.

SITA.

Kuchagua JINA.

Jina la biashara yangu ya udalali nitakuwa nafahamika kama Dalali Aliko. Wengine nimesikia wanaitwa Dalali Mwokozi, Dalali Mkuu Mbeya, Dalali Jey, Dalali Maarufu, na .
majina mengineyo.

Muhimu ni kufuata kanuni za uwekezaji na msingi ya utu ya kila siku. Ninaamini jina langu la Aliko ni rahisi na hivyo sina haja ya kubadilisha jina ninapoanza udalali.

SABA.

Kuishi vizuri na viongozi wa serikali ya kata/mtaa.

Viongozi wa eneo langu la kazi ni watu wa muhimu sana kwangu. Bila hao heshima ya kazi yangu haiwezi kuonekana labda kama watanifanya kinyume na utu.

Wakazi wa eneo husika ndiyo kundi la pili la kuhakikisha wanajua ukarimu wangu na unyenyekevu wangu. Imani yangu ni kwamba hakuna huduma yoyote ninayoweza kuitoa kwa ubora wa juu sana bila kunyenyekea.

Kunyenyekea wakati wa kusalimia, ninapotafuta dili na kunyenyekea wakati kupokea fedha za wateja wangu.

Kundi la mwisho la kulihudumia vizuri ni wageni wa mtaa ambao ninatoa huduma za udalali. Hapa napo zali la mentali linaweza kuniangukia. Kwa kumnyenyekea mgeni ninaweza kukutana na malaika.

Lakini itabidi nichukue tafadhali, kwa sababu mgeni ana mageni mengi. Mgeni atakuja kwangu mimi dalali na mageni ya ajabu na yale ya adabu. Hawa ni sehemu ya maisha yangu huduma zangu za udalali. Wageni wanatakiwa waiache tabia yangu njema nibaki nayo, waniachie kamisheni tu.

Pia, nikipokea wageni wasio na adabu kuna siku nitagombana na viongozi wa serikali za mitaa au kata. Hivyo ninahitaji uangalifu kwenye hili.

Muhimu; Jiunge na programu maalumu ya mafunzo ya UDALALI WA VIWANJA NA NYUMBA. Nina mbinu bora za kukuwezesha kutoa huduma hii kwa viwango vya juu. Karibu sana tufanye kazi pamoja!.

Rafiki yako mpendwa,

Aliko Musa.

Mbobezi majengo.
 
Whatsapp; +255 752 413 711
 
Kwa miji mikubwa hapa kwetu Tanzania, kumekuwa na kundi kubwa la nyumba za kupangisha. Mitaa mingine imekuwa na idadi kubwa la nyumba za kupangisha kuliko hata nyumba za kupangisha.

Hivyo huduma tatu ambazo nimekuwa nikitoa kwa sababu nimekosa fedha za kumiliki nyumba za kupangisha ni;-

✓ Moja; Kumiliki mtandao mkubwa wa mauzo ya viwanja na nyumba.

✓ Mbili; Kutoa huduma bora za udalali wa viwanja na nyumba.

✓ Tatu; Kusimamia nyumba za kupangisha.

Kwa hatua zote hizo tatu, tayari nimekushirikisha huduma mbili za hapo juu. Huduma ambayo bado sijakushirikisha ni ile ya namna ya kusimamia nyumba za kupangisha.

Kuwa Na Maarifa Sahihi.

Kusimamia nyumba za kupangisha ni jambo ambalo lina changamoto nyingi na zinazojirudia kila mwaka. Hivyo, ninahitaji maarifa sahihi. Maarifa sahihi ninayohitaji angalau yajibu maswali yafuatayo;-

✓ Je ni kiasi gani sahihi cha kodi ya nyumba inayolipa?.

✓ Je inatakiwa nilipwe kamisheni ya usimamizi wa nyumba ya asilimia ngapi?.

✓ Je mikataba bora ya upangishaji iliyo na manufaa kwa wapangaji na wenye nyumba inakuwaje?.

✓ Je ni njia gani za kutafuta wapangaji ambazo ninaweza kutumia nguvu, fedha na muda kwa 20% na nikapata matokeo kwa 80%?.

✓ Je ni changamoto gani ambazo wapangaji wanazipata mara kwa mara kwenye eneo la nyumba ninayosimamia?.

✓ Je ni gharama za kukarabati nyumba ya kupangisha kwa gharama nafuu ninazoweza kutumia?.

✓ Jumla ya gharama za ukarabati na maboresho ya nyumba zinatakiwa kurudi ndani ya miezi mingapi?.

✓ Ni kanuni gani nitatumia kujenga mtandao mkubwa wa wapangaji tarajiwa kwenye eneo la nyumba ninazosimamia?.

✓ Je ni aina gani ya ukarabati wa nyumba ambao utapelekea thamani ya nyumba iongezeke?.

Hivyo, baada ya kujenga himaya ya maarifa sahihi ya usimamizi wa nyumba za kupangisha sasa ninaanza kutafuta wateja.

Ninatumia mtandao mkubwa wa mauzo ya viwanja na nyumba ili kutangaza huduma zangu za usimamizi wa nyumba za kupangisha.

Pia, nitatumia huduma zangu za udalali kuongeza matangazo ya usimamizi wa nyumba za kupangisha.

Kamisheni Ya Usimamizi Wa Nyumba.

Ninaweza kulipwa fedha kwa njia zifuatazo;-

✓ Kulipwa kwa kamisheni. Ambayo itakuwa ni 10% hadi 20% kutegemeana na majukumu niliyopewa.

✓ Kulipwa mshahara kwa kila mwezi.

✓ Kulipwa mshahara pamoja na kamisheni ya kuongeza ufanisi wa kazi.

✓ Kuishi kwenye moja ya chumba cha nyumba ninayosimamia.

✓ Kuegesha mabanda yangu kwenye eneo la nyumba na kukodisha kwa wafanyabishara wadogo wadogo. Kodi yote kutokana na nyumba za kuhamishika (kontena, banda la biashara) inakuwa ni yangu.

Mambo mengi nitakuwa ninazingatia kwenye mpango mkakati wa huduma za kujenga mtandao mkubwa wa mauzo ya viwanja na nyumba na ule mpango wa huduma za udalali.

Unaweza kuniuliza chochote kuhusu usimamizi wa nyumba za kupangisha. Tutaendelea na njia 2 ambazo zinaitwa;-

✓ Kununua na kuuza mikataba ya nyumba (za kuishi na za kupangisha). Nyumba ziwe ni zile za vyumba 20 au chini ya hapo.

✓ Kununua nyumba ya kupangisha kwa mkopo wakati huna dhamana au fedha.

Muhimu; Jiunge na programu maalumu ya mafunzo ya DALALI MTAALAM. Nina mbinu bora za kukuwezesha kutoa huduma hii kwa viwango vya juu. Karibu sana tufanye kazi pamoja!.

Rafiki yako mpendwa,

Aliko Musa.

Mbobezi majengo.

Njoo uungane na FAMILIA YA TZ REAL ESTATE TEAM. Ukiwa hapa huwezi kukosa maarifa sahihi ya kujikwamua kwenye hali uliyonayo.

Bonyeza hapa kujiunga na familia ya WAWEKEZAJI kwenye ardhi na majengo.....

Nitumie ujumbe kuuliza huduma zangu za bure na za kulipia... karibu sana.

Whatsapp; +255752413711
 
PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;-

✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja, mashamba na majengo.

✓ Kutoa huduma za udalali wa viwanja, mashamba na majengo.

✓ Kusimamia nyumba za kupangisha.

Kwenye makala iliyopita nilikushirikisha utangulizi wa kuanza kujenga mtandao mkubwa wa mauzo ya viwanja, mashamba na majengo. Mikoa yote huduma za udalali zimeshamiri, lakini majiji haya yameonyesha uwepo wa idadi kubwa ya madalali;-

✓ Jiji la Dar Es Salaam.

✓ Jiji la Arusha.

✓ Jiji la Mwanza.

✓ Jiji la Mbeya.

Huduma Ya Udalali Wa Viwanja/Nyumba.

Kwa kuwa nipo kwenye mchakato wa kujenga mtandao mkubwa wa mauzo ya viwanja, mashamba na majengo nitaanzisha huduma za udalali. Nitatumia mtandao wangu ninao ujenga kutangaza huduma zangu za udalali.

Je Kwanini Nianzishe Huduma Hizi 3?.

Hii ni kwa sababu nimeamua kupambana na adui umaskini. Siwezi kusubiri muda mrefu kuanza kupambana na adui huyu. Badala yake ninatumia nyenzo zifuatazo kuanza vita;-

✓ Simu janja (smartphone).

✓ Mtandao wa intaneti.

✓ Elimu ya kuelewa (kusoma, kuandika na kuongea) lugha ya taifa (kiswahili) na ile lugha ya kitaifa (kiingereza).

✓ Idadi kubwa ya watu wanaonizunguka. Hawa nitawatumia kutangaza huduma zangu za udalali kwa mkomo wangu na njia nyingezo.

✓ Muda. Ninaanzaje kukosa saa 3 za kufanya huduma za udalali?. Ninaanzaje kukosa saa 3 za kujenga mtandao mkubwa wa kidigitali wa mauzo ya viwanja na nyumba?. Ninaanzaje kukosa saa 1 ya kukagua nyumba na mazingira yake ambayo mimi nimepewa kuisimamia.

✓ Notibuku nzuri na imara. Hii ni kwa ajili ya kuchukulia maelezo ya nyumba, viwanja na mashamba.

Kwangu mimi hizi ni nyenzo muhimu sana. Kwa nyenzo hizi, hali yangu inaweza kubadilika wakati wowote. Muujiza upo kwenye mikono yangu, akili zangu na moyo wangu ili nikukae kwenye mchakato wa mpango wangu huu mzuri.

Je nina anzia wapi sasa?.

Nitachukua ramani ya mkoa wangu. Nitaangalia kata zote. Katika kata zote za wilaya nilipo ni lazima nichague kata ambayo ina sifa zifuatazo;-

✓ Idadi kubwa ya watu.

✓ Kata yenye sera nzuri za serikali za ndani ya miaka 5 ijayo kwa kulinganisha na kata zingine za halmashauri yangu.

✓ Iwe na huduma bora za kijamii.

✓ Iwe ina usanifu mzuri sana wa viwanja vyake na majengo yake.

✓ Iwe na chanzo kimoja cha ajira rasmi au isiyo rasmi. Chanzo hiki ndicho kitakuwa kivutio cha wateja wangu tarajiwa.

Kazi hii inafaa zaidi nifanye maeneo ya mijini, sehemu ambazo kuna nyumba za kupanga. Nyumba za kupangisha ni eneo zuri la kuanzia kutoa. Baadaye nitaweza kunufaika zaidi na kamisheni za mauzo ya viwanja na nyumba.

Baadaye nitaongeza bidii kwenye majengo makubwa kama vile apatimenti kubwa sana, hoteli kubwa, na kadhalika.

Kwa vijijini na maeneo ya mjini yanayokua dili za viwanja na mashamba ndiyo kubwa kuliko dili za nyumba za kupangisha.

Huu umekuwa ni mwanzo tu kwangu. Malengo yangu ni kumiliki kampuni kubwa ya huduma za udalali na huduma zinazohusiana.

Kuanza Udalali Kwa Vitendo.

Moja.

Nina chagua eneo kata/mtaa mmoja.

Hapa nitachagua eneo ambalo ninataka kufanya udalali wangu. Kwa mwanzoni ni lazima niwe maarufu kwenye eneo dogo (kata au mtaa).

Endapo nitaanza kutoa huduma za udalali kwa muda wa ziada, nitachagua mitaa michache. Hii itanisaidi kufahamika haraka sana, itanisaidia kukumbuka mitaa na nyumba zake.

Endapo aibu itaniingia nitachagua kata ya mbali ninapoishi. Nitakuwa ninaamka asubuhi na kwenda kata ninayotoa huduma za udalali.

Udalali ni huduma ambayo kwetu sisi Tanzania inatazamwa kama kazi ya mikia, watu tusio na kazi ya kueleweka. Lakini nafsi yangu imeona kuwa udalali wa ardhi na majengo ni kazi halali.

Hii ni kazi ambayo inaweza kunifanya nipige hatua moja mbele. Hatua moja leo, moja kesho, nyingine kesho kutwa hatimaye ninamiliki kiwanja au nyumba ya kupangisha.

MBILI.

Ninaanza kufanya mazungumzo.

Ninatumia mbinu suluhishi ambayo nimeiandika kwenye kitabu changu kiitwacho LUGHA YA BIASHARA YA VIWANJA NA NYUMBA. Hii ndiyo mbinu bora sana kwangu ya kufanya mazungumzo kwenye dili zote za ardhi na majengo.

TATU.

Ninaanza kuzungumza na mnunuzi/mpangishaji.

Hakuna yeyote ambaye atakuja na kuniambia kuwa anapangisha nyumba. Pia, wenye nyumba wengi huwa hawatupendi madalali. Hivyo, mbinu yangu ya kuanza kazi hii ni kuzunguka nyumba hadi nyumba kutafuta vyumba vya kupangisha.

Ninaanza na vyumba vya kupangisha kwa sababu mbili (2);-

✓ Kuna idadi kubwa ya vyumba vya kupangisha hapa mjini.

✓ Kuna idadi kubwa ya wapangaji wa kawaida wa nyumba au vyumba.

Hivyo, ningekuwa ninaanza udalali kwenye halmshauri ambayo uuzaji wa viwanja na mashamba umeshika kasi ningewekeza nguvu huko.

Ninaulizia chumba kama ninataka kupanga, ninakikagual na ninaangalia vitu muhimu vilivyopo, kwamba chumba labda kina tiles, kina umeme, choo kikoje na vitu vingine.

Hapo ninatafuta kama mteja, nikiwa hapo kwenye chumba, ninatoa notibuku yangu. Nitaandika kama hivi;-

✓ Mmiliki wa chumba/nyumba = Amenye Mwamposa.

✓ Mtaa = Mwambene.

✓ Nyumba = Na.34

Sifa zingine nitaziweka kwenye picha za simu yangu. Nikija kumleta mpangaji nitaweka wazi kuwa mpangaji ndiye anatakiwa kunilipa endapo mwenye nyumba hatapendezwa kuniona kwake kama dalali.

NNE.

Jinsi ya kulipwa.

Kiwango changu cha kulipwa itakuwa ni 10% ya kodi inayolipwa na mpangaji kwa wakati huo. Lakini kamisheni hii inaweza kupungua kutokana na mazingira yaliyopo.

Nitajenga uaminifu kwa kutaka kulipwa kwa uhalali. Hii itapelekea nijenge wateja wa kujirudia rudia. Hivyo, nitaendelea kupata wateja wengine wapya. Wateja niliowahumia vizuri watanisema vizuri kwa jamaa zao.

TANO.

Njia mahalia za kujitangaza.

Ninaanza kujitangaza kama dalali, vijiweni vya bodaboda, stendi za magari na mitandao ya kijamii. Kwa kuwa nimeamua kuwa dalali ni lazima kujitangaze bila kuhisi aibu.

Nitaongelea kuhusu mambo ya viwanja na nyumba nikiwa kwenye vijiwe. Nitaweka namba yangu ya simu sehemu ambayo inaonekana vizuri na ipatikane muda wote. Kwa baadaye nikifungua ofisi,

Pili jitangaze kwa bodaboda, hawa ndiyo wanabeba wateja wanaotafuta vyumba, juana nao, wape namba zako, hakikisha vijuwe vyote vya bodaboda wanakujua. Kuna madereva wa maguta, Kirikuu na malori, hawa wanabeba wanaohama hivyo ni rahisi kujua kuwa chumba kipo wazi sehemu flani.

Muhimu hapa ninatakiwa nisiwe na mbinafsi, mtu akiniunganisha dili ninampa pesa ya kula siku hiyo.

Lakini mtu akikuunganishia dili ladba dereva, siku ukisikia mtu anahama au mteja wako akihamia kwenye nyumba unayompeleka basi nayeye muunganishie dili la kubeba mizigo. Hayo ndiyo mahusiano ya kikazi akiona akikupa dili na wewe unampa dili basi ni lazima akupe dili. Jitangaze katika mitandao ya kiijamii, hapa mwanzo hutapata wateja lakini utakua unatengeneza brand yako.

SITA.

Kuchagua JINA.

Jina la biashara yangu ya udalali nitakuwa nafahamika kama Dalali Aliko. Wengine nimesikia wanaitwa Dalali Mwokozi, Dalali Mkuu Mbeya, Dalali Jey, Dalali Maarufu, na .
majina mengineyo.

Muhimu ni kufuata kanuni za uwekezaji na msingi ya utu ya kila siku. Ninaamini jina langu la Aliko ni rahisi na hivyo sina haja ya kubadilisha jina ninapoanza udalali.

SABA.

Kuishi vizuri na viongozi wa serikali ya kata/mtaa.

Viongozi wa eneo langu la kazi ni watu wa muhimu sana kwangu. Bila hao heshima ya kazi yangu haiwezi kuonekana labda kama watanifanya kinyume na utu.

Wakazi wa eneo husika ndiyo kundi la pili la kuhakikisha wanajua ukarimu wangu na unyenyekevu wangu. Imani yangu ni kwamba hakuna huduma yoyote ninayoweza kuitoa kwa ubora wa juu sana bila kunyenyekea.

Kunyenyekea wakati wa kusalimia, ninapotafuta dili na kunyenyekea wakati kupokea fedha za wateja wangu.

Kundi la mwisho la kulihudumia vizuri ni wageni wa mtaa ambao ninatoa huduma za udalali. Hapa napo zali la mentali linaweza kuniangukia. Kwa kumnyenyekea mgeni ninaweza kukutana na malaika.

Lakini itabidi nichukue tafadhali, kwa sababu mgeni ana mageni mengi. Mgeni atakuja kwangu mimi dalali na mageni ya ajabu na yale ya adabu. Hawa ni sehemu ya maisha yangu huduma zangu za udalali. Wageni wanatakiwa waiache tabia yangu njema nibaki nayo, waniachie kamisheni tu.

Pia, nikipokea wageni wasio na adabu kuna siku nitagombana na viongozi wa serikali za mitaa au kata. Hivyo ninahitaji uangalifu kwenye hili.

Muhimu; Jiunge na programu maalumu ya mafunzo ya UDALALI WA VIWANJA NA NYUMBA. Nina mbinu bora za kukuwezesha kutoa huduma hii kwa viwango vya juu. Karibu sana tufanye kazi pamoja!.

Rafiki yako mpendwa,

Aliko Musa.

Mbobezi majengo.
dah naona ndefu kama mkojo wa gorofani
 
Back
Top Bottom