Hivi vifaa vya kujengea nyumba za viongozi huwa vinanunuliwa wapi? Nyumba moja kugharimu milioni 838

Gharama zake zinatokana na manunuzi ya vifaa kwa kupitia channel ya manunuzi ya serikali! Pia consultants wana asilimia yao. Hazijengwi kwa gharama kama ya nyumba zetu hizi tunazojenga kwa wajenzi wa kienyeji! Hivyo hata wewe ungejenga hilo ghorofa lako la mil.120-200 kwa taratibu za ujenzi wa nyumba za serikali ungechunwa kati ya mil. 300-500
Huo ndio uharamia haswaaaa!!!!!!
 
Acha uwongo jombaa nimetembelea Halmashauri kadhaa wanatumia mfumo wa force account... Baada ya kushinda tenda mkandarasi husika. Afisa/procurement officer anaenda kununua vifaa vya ujenzi kiwandani mfano mabati, simenti, misumari and gypsum, etc so bei inakuwa cheap kuliko mtaani kwenye hardware....
 
Hizo zinajengwa kiusalama zaidi.

Nyingi zinakua na milango&vitasa special, mahandaki mengi ya usalama, vyumba vya kuhifadhia silaha, vyumba vya kutorokea, kumbi za mikutano na mifumo kibao ya ulinzi.

Ndo maana zinatumika Sana Kama IKULU NDOGO endapo RAISI atafika mkoa au wilaya husika..

Ukiskia nyumba ya mkuu wa wilaya au mkoa, hawazungumzii nyumba zetu hizi za chumba tatu na sebule.

Hapa inazungumzwa.
Ni mkusanyiko wa majengo mengi ndani ya eneo Moja.
 
Kila mkoa una Ikulu ndogo labda mikoa mipya iliyoanziashwa hivi karibuni.
 
Ni mwanzo mzuri, ngoja tuone bajeti zijazo, nadhani ndio jinsi ya kuingiza pesa mtaani kama tulivyotaka. 838m kumalizia nyumba, 555m kukarabati na 170m kujenga uzio.

Nakumbuka nyumba ya Mhando wa Tanesco siku zile ilikarabatiwa kwa bilioni kadhaa.

Jumba la kifahari la Bakhresa limejengwa kwa USD 3m, kama bilioni 6 na pointi hivi, inawezekana hiyo inayomaliziwa kwa 838m itakuwa kama hiyo.

Kazi iendelee
Hiyo budget imeanza andaliwa miezi sita iliyopita Ummy Mwalimu kakuta mambo tayari haijaandaliwa ndani ya mwezi mmoja.
 
Tafuta pesa bwashee
Shida siyo kutafuta pesa, halafu huko huko wanakomjengea nyumba mkuu wa mkoa kwa zaidi ya milioni 830 pesa ya vifaa tiba kwa mkoa ni milion 300 hivi. Kama wangepeleka bilion mbili walau ingemake sense.
Hatuko serious na maendeleo
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom