Unstoppable upon
Senior Member
- May 16, 2025
- 136
- 275
Kama wapo waseme wanionaje awamu hii na wameridhika na kila kitu?
sawa mkuuWewe unachojua ni kuuliza maswali na kulazimisha kujibiwa kama ulivyouliza hilo ndio tatizo lako na hivyo ndivyo unaona ndio namna ya kujadiliana pekee, unaponiuliza mganga gani anauwa unataka nikutajie mganga fulani sehemu fulani anauwa au unakusudia nini hasa na hilo swali linalenga nini hasa katika hii mada tunayojadili?
Sasa mie nimejaribu kukuelewesha kwamba uganga au uchawi ni ujuzi na ndio maana kuna waganga wengi kila sehemu na sio lazima mganga tu mwenye ujuzi wa uchawi kuhusu jambo fulani anaweza kufanya, ila wewe bado unaona nakwepa kwepa unataka nikutajie huyo mganga anayeuwa watu.
Dah! Mkuu kwa kweli bora nibakie kuonekana nakwepa kujibu maswali.
Mama mchungaji☺️Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?
Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
😂Naendelea vizuri mama mtumishiAbee,vp ... waendeleaje?
Mimi mtoto wa mchungaji uasherati na uzinzi sio vitu vyanguNaona with new ID....umelala na mke wa mtu jf?
Barikiwa mama mtumishiAmina Amina mkuu
AloooooTunakufuatilia sana mkuu tabiri zako, kimya kimya.
pm mtumishi tufahamianeI wish nikufahamu aisee....hauna code yoyote nikutambue
Kunan jaman kwenye huu Uzi naona watu wanani tagg kweli😂😂😂
Unasali novena gani 🤔 madam
Au viatu ulivyovaa visiwe visafiZango noma,mtu anakupiga kupitia macho
Dawa yake simpo tu,nasikia unapigwa na ufagio tumboni yani ushapona
Kwanini unasema haipo ni kwa sababu tu mimi sijathibitisha?Hakuna sababu ya uchawi inayomfanya mtu awe chizi haipo kama ipo thibitisha
Point ni kwamba unachokiona kwenye mazingaombwe kwa hayo macho yako sivyo ilivyo kwenye uhalisia. Unaona pesa kumbe sio pesa, sasa ukiambiwa kinachofanya uone pesa kumbe makaratasi ni uchawi utakubali?Yes! Viini macho/mazingahombwe yapo na huthibitika kwa kuona kabisa