Wee njoo tu au nenda uziguani kasalimie ukakutane na wanguu kule wakusalimie mtoto wa mikoa ya Bara🤣🤣🤣Maneno hayo bro
Donatila Hujambo?Kumcha Mungu ni kuwa huru kutoka kwenye vifungo vya GIZA
ni sekta hii...kama sekta uliyopo wewe! NAONA UNAZUNGUKA SAAANA....HEM SEMA ULIKUWA UNATAKA KUSEMAJE? 👺🤣🤣🤣Wee,sema kweli?
Kumbe Kuna vitengo kabisa!!?
Kabisa, hofu + imani ndio matokeo ya kuathiri ubongo na kufikiri uchawiNaam, uchawi ungekua na nguvu ukoloni usingetoboa
Haha sina msaada nao...🤣🤣Watu hawaamini bro
Zango noma,mtu anakupiga kupitia machoBinti aliyejipata Sasa anawashwa.
Njoo Tanga upate zongo kidogo
Unaniruhusu ni kuonyeshe kitu unachokitaka?🤣🤣Utaniweza,Mimi ninapotaka kuanzisha thread hata sijuagi nataka Nini mkuu...hivi mnavyojibu ndiyo siku inapita hivyo
Jaiva anasema ni BURUDAH🤣🤣🤣 Kumbe kumcha Mungu ni Raha sana hakuna kujifichaficha
KIfupi ni utapeli😁Hakika aisee
Uchawi upo period,labda uniambie ni kiasi gani unakudhuru ndio itategemeana na Imani yakoKuna sehemu niliwahi kuishi wakati nasoma, asubuhi moja tukaamka hatuna nywele kichwan sehem ndogo kiasi, yan kabisa kama kiwembe kimepita shwaa, tulikua watatu, mimi na mwenzangu tukaona fresh tu, yule mwenzetu akaanza kuhaha, piga simu kwao, wakamwambia apake vumbi la mkaa, mara sijui aogee chumvi ya mawe na maji mengine apakaze pale kwenye kipara, ilikua heka heka baada ya siku kadhaa sie wawili nywele zikaota, kimbembe yeye kipara kikawa kinasogea, akaanza kuvaa mawigi na kushinda na kitambaa, akanyoa kipara, zikaota kwengine ila pale hapakuota alikonda, akapoteza umakini wa masomo tukamwambia aende kwao kwanza (mkoa) alivyorudi baada ya siku kadhaa nywele zake zikaota hadi leo yupo vizuri,
Uchawi ni imani yako tu, japo sijui ilikuwaje tulijikuta hatuna nywele sote watatu.