Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

🤣🤣 Mbona umeanza kunitisha na vimong',omong',o mkuu...nilitaka mtuelezee kwanini mnatuminyaminya usiku?
Hao ni wanga wanaowaminya minya...ni sawa na kusema vibaka wanavyo wasumbua usiku...na maharamia wanavyowaimbisha mtaji wa masikini maporini huko,yaani ni TASNIA KAMA.TASNIA NYINGINE...WACHAWI TUPO,SEMA ULIKUWA UNATAKA NINI?👹
 
Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?

Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Uchawi ni matokeo tu si lazima ajitangaze utawatambua kwa tabia zao tu. Roho ya kisasi na chuki iliyopitiliza ndo uchawi wenyewe hasa.
 
Back
Top Bottom