Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,913
Kwahiyo natakiwa kuamini tu mnachoniambia pasina kuhoji?Sasa sisi tunakuambia hakuna kitu kinaitwa uchawi duniani kote
Kwahiyo natakiwa kuamini tu mnachoniambia pasina kuhoji?Sasa sisi tunakuambia hakuna kitu kinaitwa uchawi duniani kote
Uchizi husababishwa na nini?Uchizi upo bila uchawi na kifo kipo kisichohusishwa na uchawi.
Mtu anapinga tu kitu hata hakijui ukimuuliza sana anachojua ni kukariri kusema thibitisha hapo ndio uelewa wake unapoishia, yani kutokujua kwake anafanya kuwa ni sifa kumbe ni ujinga.Mkuu nimejiridhisha tunahangaika kujadili haya mambo na walevi.
wale waloweka kitu na walopeleka mchanga kwenye maombi mvua za mwaka huu wote ngoma droo na wasiofanya kituHapo simiyu unaweza kulima bila kuweka chochote shambani na ukavuna?
Kama kweli uko simiyu NN...
Unamaanisha nini kwa kusema ‘bila kuweka chochote shambani’?Hapo simiyu unaweza kulima bila kuweka chochote shambani na ukavuna?
Kama kweli uko simiyu NN...
Shida sio kuonyeshwa bali kukubali hicho utakachoonyeshwa, kinachofanya mpinge uchawi sio kutoonyeshwa mkuu.Yani aone yeye tu asiweze kutuonesha na sisi kama sio uwongo ni nini?
Mimi nimeona mti na nakuonesha mti ule pale kama wewe umeona uchawi tuoneshe
Straight Outta Brd [Bariadi]!Hapo simiyu unaweza kulima bila kuweka chochote shambani na ukavuna?
Kama kweli uko simiyu NN...
Mh! mbona mchawi wetu wa hapa jf hajafa ama ni tapeli....😅UCHAWI ni SIRI
Ukisema tu SIRI unakufa
Hawa ni wehu mkuu...Mtu anapinga tu kitu hata hakijui ukimuuliza sana anachojua ni kukariri kusema thibitisha hapo ndio uelewa wake unapoishia, yani kutokujua kwake anafanya kuwa ni sifa kumbe ni ujinga.
Tuoneshe uchawi mkuu acha kurukarukaShida sio kuonyeshwa bali kukubali hicho utakachoonyeshwa, kinachofanya mpinge uchawi sio kutoonyeshwa mkuu.
Mtu hajawahi hata kujihusisha kujua ukweli kuhusu hicho kinachoitwa uchawi ila anapinga kwa kujiamini kabisa, yani hata ukiangalia hoja zao huwezi kuona kama ni watu wenye kuishi kwenye jamii ambao watu wanajihusisha na uchawi.Mkuu hawa watu tuachane nao...
Binafsi siamini, bali najua uchawi upo na unafanya kazi...
Nimeona watu wakidhurika na uchawi waziwazi...
Hujawahi kuona mtu analima, mvua zinanyesha, anaweka mbolea, anafanya palizi na hapati kitu?wale waloweka kitu na walopeleka mchanga kwenye maombi mvua za mwaka huu wote ngoma droo na wasiofanya kitu
Kwahiyo bila uchawi ukilima hupati mavuno?Hawa ni wehu mkuu...
Mtu kama huyu ukimwambia kilimo kinalipa ila kwenye kilimo kuna uchawi wa kuiba mazao, hawezi kuelewa...
Hawa ndio unakuta anaenda kulima kichwa kichwa akipata hasara analialia kilimo hakilipi, huku wengine wanapata...
Kwa hiyo sababu ya hayo ni uchawi?Hujawahi kuona mtu analima, mvua zinanyesha, anaweka mbolea, anafanya palizi na hapati kitu?
Hizo picha tu mkuu hauko simiyu...Unamaanisha nini kwa kusema ‘bila kuweka chochote shambani’?
Unamaanisha hata mbolea, au?
Mimi nipo Simiyu. Gambosi ni nusu saa tu kwa bajaji.
Pita hapa upate Balimi ya baridi.
View attachment 3446411
mimi uchawi naudharau mkuu --- hao walofanya hivyo wafanye tafiti zaidi kuona shida ilikua niniHujawahi kuona mtu analima, mvua zinanyesha, anaweka mbolea, anafanya palizi na hapati kitu?
Niko wapi sasa?Hizo picha tu mkuu hauko simiyu...
Kwa sisi wakulima tunaoishi Tanzania tunajua mengi mkuu...Kwa hiyo sababu ya hayo ni uchawi?
Ndio maana nakwambia tunapishana sana uelewa na sijui una umri gani. Uganga au uchawi ni ujuzi na ndio maana waganga wapo karibu kila mkoa hapa nchini na kesi za uchawi ziko karibu kila sehemu hapa nchini, sasa ukiniuliza mganga gani anayeuwa unanishangaza. Yani nikutajie mganga anayeuwa watu kweli? Wewe jamaa hacha tu unione nakwepa kujibu maswali.mganga anayeua watu anapatikana wapi mkuu.?
jioni njema pia