Unamkana kisa kahusishwa na ulozi? Usifanye hivyo sio vizuri aisee🤣🤣Nani kakuambia kuwa ni rafiki yangu? Mi nampenda tu kama nikupendavyo mkuu.
Tusiongee na watu jamani
Mimi ni PhD holder aloo sio wa kimchezomchezo.🤣🤣🤣 Hicho kipara kiliondoka na akili na nywele mkuu
Wanatumia sana kulimisha watu usiku.oya man hakuna kitu inaitwaga uchawi ni fiction tu izo bob we unadhani uchawi ungekuwepo watu wangekuwa wanateseka kiasi hiki? ni suala tuu lakutumia uchawi kazi inaisha chap
🤣🤣🤣Am sorry....am a newborn mkuuMimi ni PhD holder aloo sio wa kimchezomchezo.
Ila hii ndo mida yenu, mpaka saa sita kasoro hii upo jf, utalala saa ngapi na uende Bagamoto kwa Mshana Jr saa ngapi mkuu? Japo kwa usafirini wenu ni sekunde ila kulala muhimu kwa afya.
Huenda kuna faida wanazipata za kiroho kuwa wachawi 😅😅Tumechoka,na hatutaki....waokoke tu
Huenda kuna limitations zinazowabana, uchawi ni hesabu na ni Formula, kila formula ina nadharia au masharti yake, sasa huenda kwenye uchawi kuna mambo unaweza kuyafanya yakakupa raha lakini pia kuna mambo huwezi kufanya kutokana na mipaka ya ufundi wenyewe. Na nasikia kuna aina zaidi ya 300 za uchawi duniani kuna makala ilizungumzia kitu kama hicho.Ujinga tu,wameshindwa chukua mabilioni bank wanaangaika kutulimisha vishamba
🤣🤣🤣Mambo haya magumu kweli mkuuYani nilichogundua kuna watu wanajilazimisha kuamini hakuna uchawi tena kwa kufuata mkumbo tu aonekane nae sio mswahili au kwa sababu ni atheist au agnostic basi lazima pia apinge uchawi, wengi hawana hoja ya msingi kwanini wanapinga uchawi na ndio maana hakuna atakachoweza kukueleza zaidi ya kudai uthibitisho wa kuwepo kwa uchawi basi.
Kabisa, na kushindwa ku-prove uwepo wa kitu haimaanishi pia kwamba kweli hakipo. Vitu vingine vipo ila namna ya kumthibitishia mtu uwepo wa hicho kitu ndiyo mtihani au wakati wake wa kuweza kuthibitika unakuwa bado. Hata hizi teknolojia tulizonazo leo duniani hazikuvumbuliwa kwa siku moja ko kuna mambo mengine huenda tukapata namna ya kuyathibitisha wakati ujao.Yani nilichogundua kuna watu wanajilazimisha kuamini hakuna uchawi tena kwa kufuata mkumbo tu aonekane nae sio mswahili au kwa sababu ni atheist au agnostic basi lazima pia apinge uchawi, wengi hawana hoja ya msingi kwanini wanapinga uchawi na ndio maana hakuna atakachoweza kukueleza zaidi ya kudai uthibitisho wa kuwepo kwa uchawi basi.
Shida watu wanafikiri uchawi ni kama miujiza sijui kwamba unaweza kutaka kufanya lolote yani ni kama kuna switch unasema unataka hivi au vile kisha unabonyeza na inakuwa hivyo.Huenda kuna limitations zinazowabana, uchawi ni hesabu na ni Formula, kila formula ina nadharia au masharti yake, sasa huenda kwenye uchawi kuna mambo unaweza kuyafanya yakakupa raha lakini pia kuna mambo huwezi kufanya kutokana na mipaka ya ufundi wenyewe. Na nasikia kuna aina zaidi ya 300 za uchawi duniani kuna makala ilizungumzia kitu kama hicho.
Yeah! Ndiyo hivyo tuwaelewe tu wanalinda maisha yaoOnho,kumbe! Na ndiyo maana hawanyoshi maelezo...wanarukaruka kama popcorn 🤒
Mkuu hata huko kwenye sayansi wanaelewa basi mambo yalivyo, yani unakuta mtu hata haelewi tofauti ya kutokuwa na uthibitisho na hicho kitu kuwa uongo. Mara nyingi nawatolea mfano kwamba kuna mitishamba mingi tu hutumika kama tiba ila hadi sasa hakuna maelezo na uthibitisho wa kisayansi wenye kueleza ni jinsi gani hizo dawa zinavyotibu ila zinatibu kweli, sasa mtu anakwambia hakuna uchawi kama upo thibitisha kwa maana ukishindwa tafsiri ni moja tu kwamba hakuna huo uchawi.Kabisa, na kushindwa ku-prove uwepo wa kitu haimaanishi pia kwamba kweli hakipo. Vitu vingine vipo ila namna ya kumthibitishia mtu uwepo wa hicho kitu ndiyo mtihani au wakati wake wa kuweza kuthibitika unakuwa bado. Hata hizi teknolojia tulizonazo leo duniani hazikuvumbuliwa kwa siku moja ko kuna mambo mengine huenda tukapata namna ya kuyathibitisha wakati ujao.