Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Uchawi ni siri, wapo na watakuwa wanasoma ila ni itikadi ya siri saana! Labda wewe uitafute pattern yao na uingie sirini mwao.
 
Ukishapakwa hiyo dawa na wewe ukaamini ,hauoni hapo tayari saikolojia yako itakua imesha jijenga kuwa unapendwa ? Kwanza mpka utafute hiyo dawa maana yake una shida ya akili ya kuhisi haupendwi kitu ambacho sio kwel
Yeah sure
 
Umenikumbusha wahenga walisema chuki usiifiche kwenye mashavuu ifiche moyoni.

Ogopa MTU mwenye kuficha chuki moyonii..

Nahisi Kuna TOFAUTI ya CHUKI NA WIVUU

OGOPA MTU MWENYE CHUKII NA AKAJAA WIVUU (WANAWAKE WENGI WANA BOTH CHUKI + WIVUU)
Mkuu uko sahihi sana. Maana anayeificha kwenye mashavu ni kuwa anachukia matendo yako ila yule anayeificha moyoni ni kuwa si matendo yako tu bali anamchukia mtu haijalishi hata akitenda yanayofaa bado atamchukia tu maana tayari ameshamfuta kwenye ulimwengu wake. Sasa mtu wa hivi ni mtu kweli au shetani?

Chuki na wivu sio kitu kibaya ila ubaya unakuja pale unapomchukia mtu badala ya kuchukia tabia zake.
Mi nakumbuka kabla sijapata mwanga kidogo wa kuelewa maisha niliwahi kumchukia mtu yaani hata sauti yake tu nikiisikia nahisi kitu kinanibana kwa shingo🤣🤣🤣 sasa hapa unajiuliza hizi sio tabia za kichawi kweli.
 
Ukishapakwa hiyo dawa na wewe ukaamini ,hauoni hapo tayari saikolojia yako itakua imesha jijenga kuwa unapendwa ? Kwanza mpka utafute hiyo dawa maana yake una shida ya akili ya kuhisi haupendwi kitu ambacho sio kwel
Mkuu sisi wenye asili ya kaskazini hatuamini uchawi.

Min- me umewai kwenda lake zone au Kanda ya magharibi mwa TANZANIA

R.i.p my uncle uchawi upo uncle alikataa kwenda kwa mganga/waganga wakienyejii akawa anaumwa gonjwa lisilo onekana Wala kujulikana

Unajua miti inaongea Kuna mganga mmoja rafiki wa brother ntasimulia mengii ngoja niimalizie kazi kidogo hapaa
 
Nasubiri mkuu, kaskazini wengi wana amini uchawi
 
Unataka wakupige kimbora?

Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?

Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
 
Mkuu uko sahihi sana. Maana anayeificha kwenye mashavu ni kuwa anachukia matendo yako ila yule anayeificha moyoni ni kuwa si matendo yako tu bali anamchukia mtu haijalishi hata akitenda yanayofaa bado atamchukia tu maana tayari ameshamfuta kwenye ulimwengu wake. Sasa mtu wa hivi ni mtu kweli au shetani?

Chuki na wivu sio kitu kibaya ila ubaya unakuja pale unapomchukia mtu badala ya kuchukia tabia zake.
Mi nakumbuka kabla sijapata mwanga kidogo wa kuelewa maisha niliwahi kumchukia mtu yaani hata sauti yake tu nikiisikia nahisi kitu kinanibana kwa shingo🤣🤣🤣 sasa hapa unajiuliza hizi sio tabia za kichawi kweli.
Hapo kwenye kitu kukukaba 😂😂😂
 
Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?

Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Kwani inamaaana kuna mtu unataka alogwee au?
 
Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?

Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Hujawahi kumuuliza Mshana Jr [/USER] Hayo maswali. Huwa Anatoa majibu yote.
 
wachawi na washirikina tupo sana😅😅😅😅
Screenshot_20250819-134502.jpg
 
Back
Top Bottom