Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Watu wanao amini wachawi na mungu hakuna vitu kama hivyo uchawi ni sumu ndo uwekewe kwenye msosi mm ninapoishi kama nimgeni unaweza sema kuna wachawi kuna ndege ikifika saa8 usiku anaruka ruka kwenye bati huku akilia cjafa na mambo yangu yanaenda sawa
Sasa nani alikwambia kuwa uchawi au kurogwa kunahusu kufa au hata maradhi tu? Unasema mambo yako yanaenda sawa kwani mkuu mambo yangeenda vp ndio ungeona umerogwa na huo ni uchawi?
 
Wachina Wana Jenga 😂 😂 😆 baharini, wazungu wanapeleka vitu anga za juuu..

Sisi mtu anaumwa malaria 🦟 tunakimbilia kwenye ramli ( kilingeni)
Sema ndio hivyo watu hawajui uchawi ni nini😂😂.
Uliwahi kumuona mzungu Pemba anatambika kaka!?😂😂😂
Mie nimewahi kumuona.
 
Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?

Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Jumapili walikua wanarudisha mizigo kwa Buldoza,kwisha kazi yao
 
Wachina Wana Jenga 😂 😂 😆 baharini, wazungu wanapeleka vitu anga za juuu..

Sisi mtu anaumwa malaria 🦟 tunakimbilia kwenye ramli ( kilingeni)
Mbona hata wazungu wana ramli, zamani kabla hata hakujagundulika mashine ya kuweza kujua palipo maji safi ardhini wazungu walikuwa wanatumia ramli kuweza kujua sehemu yalipo maji safi ardhini ili waweze kuchimba. Kwa mfano zamani wazungu walikuwa wanatumia ramli itwayo Dowsing kuweza kujua palipo maji, sasa hivi hiyo dowsing wanatumia kwa mambo mengi zaidi katika kupata information na kitiba. Kwahiyo hata wazungu wana hizo imani.
 
Manyara kuna mlima watu walidai kuna uchawi eneo fulani , miaka ya 2000 hivi ukipanda ukafika hilo eneo unakuwa kama umechanganyikiwa na kupoteza kumbukumbu na mauza uza , watu wakadai mlima wa wachawi.

Ikaja gundulika kulikua ni aina fulani ya uyoga, ukipukutisha unga wake , inakua kama kilevi na kuvuruga akili na kuleta illusion za ajabu
vitu vikikosa ufafanuzi tunasakizia uchawi,

kama hii dhana ya zamani wanawake wa ulaya walishutumiwa uchawi

View: https://www.youtube.com/shorts/LKZcTOHkHdE
 
Utasikia eti bank kuna mazindiko🤣🤣🤣🤣🤣
Mazindiko yatoke wapi,Kila siku mabenk yanazinduliwa tunaona kwa macho,wajinga ndio waliwao!!
naam, story za zamani sana ila unashangaa umri unaenda kuna watu bado wanamsimamo uleule 😁
 
Mbona hata wazungu wana ramli, zamani kabla hata hakujagundulika mashine ya kuweza kujua palipo maji safi ardhini wazungu walikuwa wanatumia ramli kuweza kujua sehemu yalipo maji safi ardhini ili waweze kuchimba. Kwa mfano zamani wazungu walikuwa wanatumia ramli itwayo Dowsing kuweza kujua palipo maji, sasa hivi hiyo dowsing wanatumia kwa mambo mengi zaidi katika kupata information na kitiba. Kwahiyo hata wazungu wana hizo imani.
Wenyewe wanazishape hawana zile Imani potofuu
 
Hawa wanaosema Mungu Mungu sijui hil waombezi study haya ni makenge tu .
Hawana dili wachawi balaaa
 
Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?

Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Uchawi ni siri kubwa sana maana inawezekana haupo kabisa na ni siri
 
Blah blah blah! Uchawi haupo.
Unajiaminisha hivyo au una uelewa kwamba hakuna uchawi? Unataka kurogwa ila sidhani kama unaweza kujua huko kurogwa ndio kukoje kiasi cha kutaka urogwe ili ukubali kama huo uchawi upo kweli.

Inawezekana huo uchawi usiwepo kweli ila hoja zinazotumika humu kupinga huo uchawi hazina mashiko kabisa.
 
Tunapishana sehemu moja Tu,Mimi siamini katika uchawi,Yale ni maigizo!!
Kipindi nasoma kuna jamaa WA mazingaombwe walikua wanakuja shule,wanachukua makaratasi wanageuza yanakuwa hela🤓🤓🤓 wanafanya live bila chenga unaona kabisa,unataka kuniambia walikua na uwezo huo????
Mambo ya flani kamroga flani mi siamini mtu kama kawa Chizi atafutwe mwana saikolojia amsaidie au aende mirembe!!
Basi unatoa madai ambayo unashindwa kuyatolea ufafanuzi au huyaelewi, hata hayo mazingaombwe kunaweza kutumika uchawi pia maana unarogwa unaona kitu ambacho sio uhalisia wake na hiyo ndio mazingaombwe. Mtu anatoa makaratasi ila wewe unaona pesa.

Sasa kama uchawi ni maigizo ndio maana nikauliza ukienda kwa mganga ili umroge mtu hapo mganga atafanya maigizo gani ili akuaminishe kuwa kweli amweza kumroga huyo mtu? Sasa wewe unaniambia habari za mwanasaikolojia.
 
Umeona wapi mganga akimroga mtu kuwa chizi au akamuua? Thibitisha
Kwani nimetoa madai ya mganga kamroga mtu akawa chizi au kafa? Nimeuliza swali watu wenye kuenda kwa waganga ili kuroga watu wawe machizi au wafe je mganga huwa anafanya nini ili kuwaongopea hao watu?
 
Back
Top Bottom