Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,913
Swali langu umelielewa lakini mkuu? Nimeuliza waganga huwa wanafanyaje pale wanapojiwa na mteja ambaye anataka kumroga mtu mwengine iwe kumtia stroke au kumuuwa kabisa?Unaweza thibitisha kuwa mtu kauliwa na uchawi au kapewa stroke?
Yani nachotaka kujua waganga wanawatapeli vp watu wenye kutaka kuwaroga wenzao? Maana watu wanaenda kwa waganga kwa mambo kama hayo, sasa uchawi hakuna je waganga wanafanyaje kumuaminisha mteja wake kuwa alichotaka kimefanyika?